Hatua za makuzi kwa vijana

Download Report

Transcript Hatua za makuzi kwa vijana

Hatua za makuzi kwa vijana
Hatua za makuzi na maendeleo kwa vijana
• Umri wa kati ya miaka (10-13)
• Umri wa Kati ya miaka (14-16)
• Kijana wa rika kubwa miaka (17-19)
Mabadiliko yanayotokea kwa wasichana
• Mwili kukua, kupanuka kwa nyonga, kukua
kwa kwa matiti
• Ngozi kuwa nyororo, chunusi usoni
• Kukua kwa via vya uzazi
• Kuvuja ungo
• Kuongezeka kwa hamu ya mahusiano ya
kijinsia
• Kupenda kuonekana nadhifu
Mabadiliko kwa wavulana
•
•
•
•
•
Kuongezeka urefu, uzito, kukua kwa misuli
Sauti kuwa nzito
Kuota chunusi usoni
Kuota nywele sehemu za siri
Kupata hamu ya kujamiiana
Mabadiliko ya kiakili katika umri tofauti kwa
wasichana na wavulana
Umri wa miaka 10 – 13
• Tabia ya kujaribu mambo
• Uwezo wa kuchanganua mambo
• Kupenda marafiki nje ya familia
• Kupenda uamua mambo mwenyewe
• Kupenda kusikiliza mawazo wa wanarika
Umri wa miaka 14 - 16
• Kupenda kuuliza dhamira za mitazamo na
sera mbali mbali
• Kukua kwa uwezo wa kufikiri matokeo ya
tabia hatarishi
• Kuongezeka zaidi kwa msukumo wa
makundi rika
• Kuongezeka kwa hamu ya kujamiiana na
kupenda marafiki wa jinsi tofauti
Umri wa kati ya miaka 17 - 19
•
•
•
•
•
•
•
Kupevuka kwa via vya uzazi
Kukua kwa uwezo wa kutatua matatizo
Kukua kwa uwezo wa kujitambua
Kupungua kwa msukumo wa makundi rika
Kushirikiana na familia/ kutoa mawazo yake
Kutopenda kukaa katika magurupu
Kukua kwa uwezo wa kushika majukumu ya
familia
• Anaelekea katika maisha ya kujitegemea
Vigezo vinavyohamasisha tabia ya
kijana
•
•
•
•
Majukumu ya kijinsia
Msukumo wa makundi rika
Mahusiano na wazazi au watu wazima
Tabia ya kujiamini
Mawasiliano
Lengo:
1. Kuelezea nini maana ya mawasiliano
2. Vipengele wakati wa kufanya
mawasiliano
3. Nini vikwazo vya mawasiliano
Maana ya mawasiliano
• Ni mtiririko wa ujumbe kutoka kwa
anayetuma kwenda kwa anayepokea.
Aina za mawasiliano
1. Mawasiliano ya mtu binafsi
2. Mawasiliano ya uso kwa uso baina na
mtu na mtu au mtu na kikundi cha watu
3. Mawasiliano kwa kutumia vyombo vya
habari
Mbinu za mawasiliano
• Kusikiliza kwa makini
• Kufafanua
• Kuuliza maswali ya wazi
(yanayomwezesha mtu kujieleza)
• Kurudia kilichosemwa na mwingine kwa
maneno yako bila kubadilisha
Mbinu za mawasiliano
• Kutumia vihamasisho k.m. kutikisa kichwa,
kutabasamu, kusema “aha!!”
• Kutambua ishara zinazojitokeza wakati wa
mawasilinao k.m. kukunja uso, na
kuzifanyia kazi.
• Kutoa muhtasari
Vipengele vya mawasiliano:
•
•
•
•
•
Mtuma ujumbe
Ujumbe
Njia ya kupitishia ujumbe
Mpokea ujumbe
Mrejesho
Sifa za mawasiliano ya uhakika
• Mtoa ujumbe lazima awe na elimu ya
kutosha
• Awe anaipenda mada ya ujumbe
• Awe anawajua walengwa
• Awe anazungumza katika kiwango cha
walengwa wake
• Achague njia sahihi ya kutuma
mawasiliano
Vikwazo vya mawasiliano
Kazi ya vikundi
Elezea ni vipi vikwazo vya mawasiliano?
Vikwazo vya mawasiliano
•
•
•
•
•
•
•
Umri
Jinsia
Mawazo
Kelele
Lugha
Mazingira
Mtazamo
AHSANTE KWA KUNISIKILIZA
Dhana ya ushawishi
Nini maana ya ushawishi wa afya
ya uzazi kwa vijana
• Ni kazi ya utoaji habari, elimu na ushauri
kwa viongozi, wazazi na jamii kwa jumla ili
waelewe, washawishike na kuunga mkono
programu, shughuli au mawazo ya
programu maalum.
Umuhimu wa kuendesha
ushawishi:
• Kujenga mwamko wa uelewa
 Kubadili tabia/mwenedo
 Kuungwa mkono
 Kuhamasisha
 Kutoa motisha
 Kusaidia jamii kuchukua hatua za
utekelezaji
Kanuni za kuendesha ushawishi:
Ili ushawishi ufanikiwe mada inatakiwa:
•
•
•
•
•
•
•
Iende na wakati
Iwe thabiti
Iwe rahisi kueleweka
Ilingane na mahitaji ya afya ya vijana
Itoe ujumbe
Isibadilike badilike
Inayovutia
Namna ya kuendesha ushawishi
• Wasalimie wahusika katika lugha
inayokubalika
• Eleza hali halisi ya afya ya uzazi na vijana
katika jamii yao (Kijiji chao n.k.)
• Eleza faida ya mikakati ya afya ya uzazi
kwa vijana
• Omba kuungwa mkono katika shughuli za
afya ya uzazi kwa vijana
• Funga mada/semina
AHSANTE