Muswada wa utafiti wakielimu

Download Report

Transcript Muswada wa utafiti wakielimu

MUSWADA WA UTAFITI
WAKIELIMU
A PATRICA
Mswada -ni makala au mpango
ambao huandikwa kuonyesha
vipengele mbalimbali vya utafiti.
Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa
kwenye mswada wa utafiti ni;
a. kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwazi
b. Malengo ya utafiti;
mfano
Katika utafiti wa wanafunzi
kuacha shule, malengo
yanaweza kuwa
•Kutafuta sababu za kuacha
shule
•Kutafuta matokeo ya
kuacha shule
a) Umuhimu na maswali ya utafiti
•Kusudi la utafiti
Mf; kwa nini watoto huacha shule kabla ya wakati wake
katika wilaya ya mvomero?.
•Maswali ya utafiti;
Jee ni watoto wangapi wameacha shule kabla ya wakati
Watoto huacha shule katika madarasa gani kwa nini?
Kuna utaratibu gani uliowekwa kuhusiana na tatizo la
utoro na kuacha shule kabla ya wakati?njia zipi zitumike
kuzuia tatizo hili lisitokee
a) Dhanio
Ni kauli inayoeleza matarajio au jawabu
linalotakiwa kuthibitishwa na utafiti kama kweli au
si kweli
Umhimu:
Dhanio linamweka mtafiti kwenye vipengele
mahususi vya kuchunguzwa
a)
Pitio la maandiko- Maandiko uliyopitia ili
kujenga hoja ya suala la utafiti.
a) Muundo wa utafiti na namna
utakavyoteua sampuli
Njia za utafiti wa kielimu
1) Njia ya survey;
•D
•Data hukusanya katika eneo kubwa
•Hujumuisha watu wengi katika kutoa
habari
1)Njia ya kisa mafunzo;
•Eneo dogo na watu wachache hufanyiwa
utafiti
•Hulenga katika kutafuta chanzo cha tatizo
na njia za kulitatua.
Sampuli ya utafiti
Njia za kupata sampuli
•Njia ya bahati nasibu
•Njia ya taratibu
maalumu
•Njia ya tabaka
a.
Njia za kukusanya data
• Fomu ya maswali dodoso
• Mwongozo wa usaili
• Orodha hakiki(observation schedule)
Kuchunguza kwa kuzingatia
kuona,kusikilizakuvunja na kisha kuandika
habari inayotakiwa katika uchunguzi huo
a.
Namna data zitakavyochambuliwa
• Data kwa asilimia-kama idadi ya wahusika ni kubwa
• Data kwa wastani-kokotoa data ujue kwa wastani watu
wansema nini
• Data kwa uwiano
Mfano;
Ongezeko katika kipengele kimoja linaweza
kuoana na ongezeko katika kipengele kingine
Tafuta uwiano wa ongezeko katika kipengele
kimoja kwa kipengele cha pili
a)
Mfano wa ratiba ya utekelezaji
Shughuli
August
1
1.0 kuandaa vifaa
1.2 kukusanya
data
1.3 kuchambua
data
1.4 kuunganisha
data
1.5 kuandika ripoti
2
Octoba
3
4
1
2
Novemba
3
4
1
2
3
 .
 
 
 
 
4
Bajeti
Mahitaji
Kiasi
Jumla
Usafiri
5@1,000
5,000
Chakula
5@3,000
15,000
Steshenari
6,000
6,000
Jumla
10,000
26,000
a)
Onyesha jinsi matokeo ya utafiti huo
yatakavyo saidia kupunguza au kuliondoa
tatizo lililopo.
ASANTE KWA KUNISIKILIZA
C PATRICA & C CHIPINDULA