Dar Rapid Transit

Download Report

Transcript Dar Rapid Transit

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU
MRADI WA MABASI YAENDAYO
HARAKA:
DAR RAPID TRANSIT (DART)
CHANGAMOTO KUU ZA USAFIRI JIJINI DAR ES SALAAM
Ukuaji Kasi wa Jiji
Msongamano
wa magari
Miundombinu
isiyokidhi
Kupanuka kwa
maeneo ya kimji Moshi wa magari
Usimamizi duni
wa mwenendo
wa magari
Uchafuzi wa
hewa
TAKWIMU ZA MATUMIZI YA USAFIRI JIJINI
Zaidi ya asilimia 90 ya wakazi Dar es Salaam,
wanatembea, wanatumia baiskeli au daladala
kwenda kazini:
-
56% Wanaotembea
-
41% Usafiri wa umma hususan Daladala
-
3% Wanatumia magari binafsi
• Miji mingine mikubwa nchini nayo iko katika
hali hiyo ingawaje haijafikia kiwango cha Dar
es Salaam.
DIRA YA DART
Kuwa na mfumo wa usafiri wa umma wa gharama
nafuu kwa watumiaji, unaowaingizia waendeshaji
faida, ukitumia mabasi makubwa ya kisasa,
yanayokidhi viwango vya ubora wa huduma,
uhifadhi wa mazingira na utumiaji wa njia maalum
na kupunguza muda wa safari.
DHIMA YA MRADI WA DART
Kutoa huduma bora inayopatikana kirahisi na ya gharama
nafuu kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambayo
itachangia:
 kuondoa au kupunguza umaskini,
 kuinua hali ya maisha,
 kuleta ukuaji wa uchumi endelevu katika Jiji na
 kuwa kichocheo cha ushirikiano baina ya sekta ya
umma na sekta binafsi katika nyanja ya usafirishaji
Jijini.
MAONO YA MFUMO WA DART:
Awamu 3 muhimu za
DART zinakutana
Kariakoo
6
1
5
137+ km of
DART
corridors
18+
terminals
228+
stations
4
5
3
2
Mfumo wa DART unatekelezwa katika Awamu sita
?
AWAMU SITA (6) ZA UTEKELEZAJI
Awamu
Barabara Zitakazohusika
Urefu wa
Barabara
20.9
Awamu ya 1:
Morogoro, Kawawa Kaskazini,
Msimbazi Street, Kivukoni Front
Awamu ya 2:
Kilwa, Kawawa Kusini
19.3
Awamu ya 3:
23.6
Awamu ya 4:
Uhuru Street, Nyerere, Bibi Titi na
Azikiwe Street
Bagamoyo na Sam Nujoma
Awamu ya 5:
Mandela na Barabara mpya
22.8
Awamu ya 6:
Old Bagamoyo na barabara mpya mbili
27.6
16.1
VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUAMUA
AWAMU ZA UTEKELEZAJI
Mahitaji ya Usafiri
(51.7%)
Urahisi wa
Kujenga (27.7%)
Manufaa kwenye
Mazingira
(20.6%)
Current demand in the
public transport corridor
(48.5%)
Easiness for construction
(34.3%)
Qty of Demolitions
(24,4%)
Financial viability (30.0%)
Air and sound pollution
(22.4%)
Servicing low income
areas (26.1%)
Qty daladala routes
cancelled (20.4%)
Travel time impact
(25.4%)
Gen. costs benefits
(15.2%)
Promote development
urban areas (31.7%)
Impact during
construction (21.5%)
23
AWAMU YA KWANZA YA DART
Awamu ya kwanza ina:- Urefu km.20.9, Vituo 27, Vituo
mlisho 6, Karakana 2 na Vituo Vikuu 5. Inatarajiwa kuwa
na uwezo wa kubeba abiria 460,000 kwa siku kwa
kutumia Mabasi Makubwa 145, mabasi madogo118.
Key
Depot
Feeder Station
AWAMU YA KWANZA ITAHUDUMIA ENEO LINALOHUDUMIWA
NA DALADALA 1,500 AMBAZO NI RUTI 48
145 Trunk buses
118 Feeder buses
MIUNDOMBINU YA MFUMO WA DART
Njia za Pekee za Mabasi
Mabasi Makubwa ya Kisasa
Vituo vilivyofunikwa
Vituo vikubwa, bora na vya kisasa
Maegesho/Karakana karibu na njia kuu
Njia za waendesha baisikeli kwenye mfumo
wa DART
Njia nzuri za watembea kwa miguu
MAENEO YA UJENZI KULINGANA NA
UPANA WA BARABARA
Stch 7
Stch 6
Stch 8
Stch 5
Stch 9
Stch 4
Stch 1
Stch 3
Stch 10
Stch 2
SEHEMU YA 1
Kituo kikuu cha Kivukoni mpaka DCC (Eneo hili limebadilishwa kutoka
njia moja kwa magari mengine na kuwa 2)
Hifadhi ya barabara ni kati ya mita 25.5 mpaka 31, Nafasi ya ziada kwa
watembea kwa miguu inapatikana
SEHEMU YA 2
Morogoro Rd, DCC mpaka Bibititi
Hifadhi ya barabara ni mita 11 ujenzi unaofanyika ni kwa Njia za waenda
kwa miguu yenye upana kati ya mita 2 – 4 na njia mbili za mabasi
SEHEMU YA 3
Barabara ya Morogoro kutoka Bibititi mpaka Umoja wa Mataifa
na Swahili: Hifadhi ya barabara ni kati ya mita 31 - 42
SEHEMU YA 3 MAENEO YA KITUO
SEHEMU YA 3 PASIPO NA KITUO
SEHEMU YA 4 - 5
Barabara ya Umoja wa Mataifa mpaka Ubungo
Upana wa mita 55 palipo na kituo na mita 46.5 pasipo na kituo
Sehemu ya 4 & 5 maeneo ya kituo
Sehemu ya 4 & 5 pasipo na kituo
UENDELEZAJI WA ENEO LA UBUNGO
Water stream
Bus depot
Upcountry terminal
DART
terminal
Feeder
terminal
HATMA YA MFUMO WA DALADALA
DARCOBOA ni mjumbe kwenye Kamati ya Uongozi ya DART
Fursa za wamiliki
Kutakuwa na kampuni mbili
ambapo kila moja itakuwa
inaendesha katika njia kuu na njia
mlisho.
Kipaumbele ni kwa kampuni
itakayoshirikisha wamiliki wa
daladala.
Watapaswa kufanya ushirika na
kushinda zabuni
DART Haipotezi Ajira
Ajira zitakazopotea kwa
(3000)
sasa
(+) Ajira zitokanazo na
Waendeshaji wa DART
1500
(+) Ajira zitokanazo na
ujenzi
500
(+) Ajira zitokanazo na
ruti mpya za Daladala
maeneo yenye uhaba
1000
(=) Upotevu wa Ajira
kutokana na DART
0
DESIGN YA DART AWAMU YA 2 & 3:
(TAARIFA YA MWISHO INAANDALIWA)
 Maktaba St. Bibi-Titi Rd., Nyerere Rd.
Pugu Rd., Uhuru St.
 Urefu : 23.6 km
 Vituo : 30
 Vituo Vikuu : 3 (pamoja na kariakoo)
 Gerezani St., Kilwa Rd.,
Changombe Rd., Kawawa Rd.
 Urefu : 19.3 km
 Vituo : 26
 Vituo Vikuu : 3 (pamoja na kariakoo)
RUTI ZA AWAMU YA PILI
RUTI ZA AWAMU YA TATU
WADAU WAKUU KWENYE UJENZI WA MFUMO
KAMPUNI ZA MABASI KWA
NJIA KUU NA NDOGO
(Bus Operators:
Trunk and Feeder)
H/JIJI LA
DAR ES SALAAM
(DCC)
PUBLIC SECTOR
SUMATRA
Surface and Marine
Transport Regulatory
Authority
WAKALA WA
BARABARA
(Tanzania National
Roads Agency)
SEKTA BINAFSI
OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI(PMO-RALG)
WAKALA WA USAFIRI
DAR ES SALAAM
(Dar Rapid Transit: DART Agency)
KAMPUNI YA UKUSANYAJI
NAULI
(Fare Collection Services)
UTUNZAJI FEDHA/ BENKI
(Funds Administration)
PRIVATE SECTOR
SEKTA YA UMMA
WIZARA ZA UJENZI
NA USAFIRISHAJI
DART AGENCY
Planning, Management and Control
Infrastructure (Public)
Corridors
Stations
Garages
Complementary
Infrastructure
Bus Operation (Private)
Billeting (Private)
Equipments
Smart Cards
Trust Fund
Companies
Buses
Employees
MAMBO MUHIMU YA KUFANIKISHA
25th May 2007
DART AGENCY ESTABLISHMENT
Inaugurated 16th June 2008
Funds mobilization
CONSTRUCTION OF THE
INFRASTRUCTURE12-36 months
PROCUREMENT OF BUSES
AND OTHER BRT EQUIPMENT
9 -12Months before D-Day
Julai 2015
HUDUMA