MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b.
Download ReportTranscript MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b.
MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 01 Sura ya 6.b. Mbinu za matibabu – Utaratibu wa Upasuaji wa Umeme wa Ukataji Waya (LEEP) R. Sankaranarayanan MD Mkuu, Kundi la Uchunguzi Wakala wa Kimataifa kwa Utafiti kuhusu Saratani (IARC) Lyon, Ufaransa C. Santos MD Mwenyekiti, Idara ya Onkolojia ya Jinakolojia Instituto de Endermedades Neoplásicas Lima, Peru UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 02 Utaratibu wa Upasuaji wa Umeme wa Ukataji Waya (LEEP au LLETZ) • Mbinu ya matibabu ya ukataji inayotumiwa zaidi katika neoplasia ya ndani ya epithilia(CIN) ya mlango wa kizazi katika ulimwengu ulioendelea • Matumizi ya mbinu hii katika nchi zinazoendelea: - Majeraha makubwa ya CIN ya shingo la mlango wa kizazi ambayo hayafunikwi kwa kipimaji kikubwa zaidi cha krio - Majeraha yanayoenea hadi kwenye mfereji wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi - Majeraha tangulizi ya tezi yanashukiwa - Ukataji wa kipande kikubwa cha jeraha kwa uchunguzi wa kina wa kihistopatholojia wakati ambapo saratani ya mlango wa kizazi iliyofichika au ya mapema inashukiwa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 03 Upasuaji wa Umeme (1) • Upasuaji wa umeme: matumizi ya mkondo wa umeme wa kasimawimbi ya redio ili kukata tishu au kuweza kufikia hali ya kuzuia uvujaji wa damu • Nishati ya umeme katika upasuaji wa umeme hugeuzwa kuwa joto na mwangaza UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 04 Upasuaji wa Umeme (2) Halijoto (°S) Athari ya tishu Hadi kufikia 40 Hakuna athari muhimu >70 Kuganda <100 Kuangamiza 100 Kuchemsha kwa kulipua mvuke, kuvukisha >100 Kukausha, mgando wa pancha >200 Kukabonisha 1000 Kukata tishu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 05 Mawimbi ya saini (1) Elektrodi ya sindano Volteji ya Kilele Mvuke Uharibifu zaidi wa joto Utoaji wa Cheche kwa Tishu Kilele cha wastani wa mraba cha volteji Volteji ya Kilele hadi Kilele Elektrodi Tawanyi ya Kurudisha UKATAJI WA UPASUAJI WA UMEME (Kilele Kikamilifu cha Juu) Wimbi la saini ambalo halijabadilishwa Elektrodi ya Sindano Mvuke Uharibifu zaidi wa Joto Utoaji wa Cheche kwa Tishu Kilele cha wastani wa Volteji wa Kilele mraba cha volteji Volteji ya Kilele hadi Kilele Elektrodi Tawanyi ya Kurudisha UKATAJI WA UPASUAJI WA UMEME Kilele Kikamilifu cha Chini zaidi) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Wimbi la saini lililotiwa unyevunyevu Slaidi 06 Mawimbi ya saini (2) Elektrodi ya Mpira wa Tishu Wimbi la saini lisilofululiza la lililogeuzwa (umbowimbi la mazao ya mgando) Elektrodi ya Mpira wa Tishu Sahani Tawanyi ya Kurudisha Mgando wa Pancha Mgando wa kugusana (Kukaushwa) Elektrodi ya Sindano ya Tishu Sahani Tawanyi ya Kurudisha Mgando usiokuwa na Kugusana (Uangamizaji) Sahani Tawanyi ya Kurudisha Kilele cha wastani wa mraba cha volteji Volteji ya Kilele Volteji ya Kilele hadi Kilele UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 07 LEEP: matumizi yanayopendekezwa • CIN iliyothibitishwa na histolojia • Majeraha ya CIN yaliyothibitishwa na histolojia yanayoenea hadi kwenye upande wa mwisho wa mfereji wa mlango wa kizazi (yasiyozidi sm 1) • Majeraha makubwa ya CIN yaliyothibitishwa kihistolojia yaliyo kwenye shingo la mlango wa kizazi ambayo hayawezi kufunikwa kwa utoshelevu na kipimaji kikubwa zaidi cha krio • Hakuna ithibati ya saratani vamizi • Hakuna ithibati ya ugonjwa wa uvimbeuchungu wa fupanyonga (PID), uvimbeuchungu wa sehemu ya mwisho ya mlango wa kizazi, trikomoniasi ya uke, ugonjwa wa ukeni unaosababishwa na bakteria , kidonda cha eneo la mkundu na viungo vya uzazi au maradhi ya uvujaji damu • Hakuna ithibati ya ujauzito UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 08 LEEP na CIN • CIN inaweza kuenea hadi kwenye mashimo ya chini ya mlango wa kizazi licha ya kiwango cha kihistolojia au mahali inapopatikana • Kuenea kwa wastani kwa shimo: kati ya mm 1.24 na mm 1.6 • Asilimia 95 ya mashimo ya mlango wa kizazi hayaenei kwa zaidi ya mm 2.9 • CIN ya kiwango cha juu zaidi mara nyingi hupatikana ikiwa imeenea hadi katika mashimo ya mlango wa kizazi pamoja na kuwa na kina kirefu zaidi kuliko CIN ya kiwango cha chini zaidi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 09 LEEP: mitazamo ya upasuaji • Uondoaji wa ongezeko la seli zisizokomaa kwenye shingo la mlango wa kizazi kwa kutumia pitio moja la waya • Uondoaji wa ongezeko la seli zisizokomaa kwenye shingo la mlango wa kizazi kwa kutumia mapitio kadhaa • Ukataji wa ugonjwa ulio katika shingo la mlango wa kizazi na ndani ya mlango wa kizazi kwa kutumia utaratibu wa ukataji wa “kofia ya mchunga ng’ombe” • Ukataji wa ugonjwa wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi kwa kutumia uondoaji wa kimwanzi kwa sindano ndefu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 10 Ukataji wa waya wa pitio moja a. b. c. Marejeo: Colposcopy and treatment of cervical intraepithelial neoplasia: a beginner’s manual. Edited by J.W. Sellors and R. Sankaranarayanan, 2003/2004, Lyon UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 11 Ukataji wa jeraha la shingo la mlango wa kizazi kwa mapitio kadhaa (1) • Jeraha pana zaidi kuliko upana wa waya kubwa zaidi: mapitio kadhaa kwa kutumia kipimo kimoja cha waya au vipimo zaidi • Utaratibu sawa kwa kila pitio • Ondoa jeraha kabisa • Weka lebo na kuhifadhi sampuli kwa uchunguzi wa kipatholojia UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 12 Ukataji wa jeraha la shingo la mlango wa kizazi kwa mapitio kadhaa (2) a. b. d. e. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD c. f. Slaidi 13 Ukataji wa jeraha la sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi (1) • Jeraha lililo katika mfereji wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi: lina uwezekano mdogo zaidi kuwa pitio la waya la safu moja litatosha • Mengi ya majeraha ya CIN III na baadhi ya majeraha ya kiwango cha chini huenea kwa kipimo cha urefu cha sm 1 au mfupi zaidi hadi kwenye mfereji • Wanawake walio na umri mkubwa zaidi na wanawake walio na CIN III: wanao uwezekano mkubwa wa kuwa na majeraha marefu zaidi na kuhitaji safu ya pili kwa ukataji uliokamilika UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 14 Ukataji wa jeraha la sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi (2) a. c. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD b. d. e. Slaidi 15 Tishu ya sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi - ukataji • Sehemu ya jeraha ambayo huenea hadi katika mfereji wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi hukatwa kwa pitio moja la waya mkubwa • Sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi hukatwa kwa waya ulio na upana wa mm 10 na kina cha mm 10 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 16 Upasuaji wa umeme wa ukataji wa kisilinda sindano ndefu ya elektrodi b. Kipeo kinakatwa kwa mkingamo a. Mstari wa ukataji unaenda kwa kutumia kisu cha upasuaji sambamba na mfereji wa sehemu au kitanzi cha findo ya ndani ya mlango wa kizazi c. Sampuli iliyo na umbo la silinda inaondolewa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD d. Kipeo kinaangamizwa kwa elektrodi ya mpira Slaidi 17 Usalama • Kina kirefu zaidi ambacho kinaweza kukatwa kwa usalama ni mm 16 • Uwezekano wa uvujaji wa damu unaongezeka pakubwa kwa kuongezeka kwa kina • Mwendeshaji anafaa kuwa na mafunzo toshelevu kwa utaratibu wa hatua mbili UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 18 Majeraha yaliyo na uenezi ukeni • Ikiwa jeraha linaenea hadi kwenye uke: - Elektrodi ya mpira hutumiwa kwa maangamizi kwenye sehemu ya pembezoni, ya ukeni ya jeraha - LEEP au tibakrio kwenye sehemu ya kati (mlango wa kizazi) ya jeraha UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 19 Athari mbaya • Maumivu ya mpito huenda yakawepo kutokana na kudungwa sindano ya ganzi • Uvujaji damu mkali wa kipindi cha kabla, wakati wa na baada ya upasuaji huripotiwa kwa wagonjwa takribani asilimia 2 au chini zaidi • Maumivu ya baada ya upasuaji kama vile mikakamao huenda yakatokea • Utokaji wa umajimaji huenda ukadumu kwa wiki 1 -2 • Wagonjwa wa LEEP huenda wakapata uvujaji wa damu wa baada ya upasuaji kwa siku 4-6 baada ya matibabu • Uwezekano wa maambukizi ni mdogo zaidi katika matumizi ya hadhari za kuondoa bakteria na dawa zuiaji za kuua bakteria UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 20 Matokeo ya muda mrefu • Katika asilimia 2 ya visa makutano ya skwama na nguzo (squamocolumnar) hupatikana katika mfereji wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi, na hivyo kusababisha matatizo katika ufuatiliaji wa kikolposkopia na uchukuzi wa sampuli wa sitolojia • Wembamba wa os ya mlango wa kizazi kwa wagonjwa wapatao chini ya asilimia 1, unaopatikana zaidi kwa wanawake ambao wamekoma hedhi na wanawake walio na jeraha la kiwango cha juu katika mfereji wa sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi • Ikiwa wembamba wa sehemu ya mlango wa kizazi huzuia uchukuazi wa sampuli kwa ukaguzi wa Pap na kulingana na uamuzi wa kimatibabu: uondoaji wa mfuko wa uzazi huenda ukapendekezwa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 21 Ufuatiliaji • Toa maelekezo kuhusu utunzaji wa kibinafsi na ni dalili zipi za kutarajia baada ya matibabu • Hakuna kupiga bomba maji kwenye uke, visodo vya ukeni au kujamiiana kwa muda wa mwezi mmoja baada ya matibabu • Ukaguzi wa kufuatilia: - Mwezi 1 baada ya utaratibu ikiwa itawezekana ili kupeleleza dalili/kupona kwa kidonda - Mwaka 1 baada ya ukaguzi uliopita ili kuhakikisha kwamba jeraha limeondolewa (rudia utaratibu wa kukata ikiwa jeraha litazidi kuwepo) - Miaka 2 na 5 baada ya utaratibu wa kwanza kupeleleza kutokea tena kwa aina yoyote na mara moja kila baada ya miaka 5 hapo baadaye. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD Slaidi 22 Asante Wasilisho hili linapatikana katika: www.uicc.org/curriculum UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.b. Methods of treatment - LEEP R. Sankaranarayanan MD; C. Santos MD