MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b.
Download ReportTranscript MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b.
MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 01 Sura ya 8.b. Sera za kielimu Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Mkuruguenzi wa Sayansi Epidaure, Idara ya Utafiti wa Uzuiaji, CRLC Val d'Aurelle Montpellier, Ufaransa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 02 Elimu ya afya: malengo makuu • Kuongeza ufahamu wa umma kuhusu saratani ya mlango wa kizazi • Kubainisha mwenendo ulio ‘kwenye hatari’ • Kushughulisha watu walio na afya nzuri ili washiriki katika taratibu za uzuiaji: ulinzi, chanjo na uchunguzi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 03 Mkakati wa kielimu • Mpana: kutohoa vitendo ili kufaa viamuzi vya afya pamoja na idadi lengwa ya watu • Wa jumla: watoa huduma wote kumakinia lengo moja • Uliofungamana: kufikia makubaliano kuhusu maarifa na ujuzi wa kutekeleza UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 04 Mkakati mpana Nyanja za vitendo Mwenendo Mazingira Huduma ya kimatibabu Vitendo Taarifa Elimu Utungaji sheria UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Idadi ya watu Vijana ambao hawajabalehe Vijana waliobalahe, watu wazima Utamaduni na dini Slaidi 05 Mkakati wa jumla: ulio na utaalamu mbalimbali na wa kutimizana Walimu Jamii Vyombo vya habari Vijana Taratibu za kiafya Marafiki Bima ya afya Wataalamu wa kiafya UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Wazazi Slaidi 06 Marejeleo ya washirika • • • • • • • • • “Ushirika bora” Kuwa na dhamira moja Kuheshimu matarajio ya kila mshirika Kutambua: - Ustadi wa washirika - Maarifa ya washirika - Maadili ya washirika Kushiriki mbinu katika utaalamu mbalimbali Kufikia makubaliano katika kila hatua Kuwa mwaminifu na imara Kuheshimu manufaa ya kila mmoja Kushirikisha washirika wote mara kwa mara na kwa njia thabiti Kuthamini uwekezaji wa kila mmoja UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 07 Mkakati ulio na ufungamano • Mfumo wa makubaliano: - Maarifa - Ujumbe - Vitendo - Zana - Washirika - … Epuka mabishano UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 08 Jukumu la wataalamu • Vitendo vinafaa kutegemezwa kwenye msingi wa ithibati • Amini ufanisi wa mikakati iliyo na ujumla na ufungamano ikilinganishwa na ile ya kibinafsi • Washawishi na kuwasadikisha wanasiasa • Wafunze na kuwaelimisha washirika katika sekta mbalimbali • Chukua hatua • Shirikiana na jamii ya kiafya katika taratibu zilizo kwenye msingi wa ithibati • Waarifu na kuwashauri watu binafsi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 09 Jukumu la serikali na wakala wa afya ya umma • Kuendeleza mapendekezo ya makubaliano • Kubuni mwongozo mahususi kwa udhibiti na uzuiaji wa saratani ya mlango wa kizazi • Kufadhili huduma na taratibu za kielimu zinazohitajika • Kukuza taarifa na elimu ya umma • Kurahisisha mafunzo ya kitaalamu • Kufuatilia ufungamano katika shughuli za kielimu • Kutambua na kutathmini michakato, mazao na matokeo UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 10 Ujumbe wa kielimu • Umesanifishwa na kujaribiwa kabla ya kutumiwa kwa mapana kwa sababu ya: - Ugumu wa taarifa - Maswala nyeti yanayohusiana na ujinsia - Hadhira anuwai • Unaohusika na hadhira lengwa: wataalamu, vyombo vya habari, idadi ya watu, umri, utamaduni… • Ulio wazi: unaoeleweka, ulio kamili, usioogofya, usiolaumu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 11 Makundi lengwa kwa elimu • Haja ya kutofautisha baina ya taarifa iliyopatanishwa, uvumi na uhalisi - Wataalamu wa kiafya: kufanya maarifa yao kuwa ya kisasa, kujifunza jinsi ya kuzungumza na wazazi na vijana waliobalehe kuhusu maisha ya ngono na kuzuia maambukizi - Wazazi: kuelewa hali ya ugonjwa inayohusiana na ngono na manufaa yanayotokana na kuzuia maambukizi - Vijana waliobalehe: kuelewa na kukubali mbinu za kinga UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 12 Mawasiliano na wazazi • Utambuzi hasi usio na msingi kuhusu taratibu za chanjo huenda: - ukaathiri uamuzi wa wazazi - ukaingilia maisha ya ngono ya wasichana walio na umri mdogo • Uaminifu kwa utaratibu wa chanjo unaweza kufikiwa na kuongezwa hadi upeo kupitia mkaakati ulio na mitazamo mbalimbali unaokubalika na wataalamu wa afya, viongozi wa kisiasa na wa kidini. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 13 Mawasiliano na vijana waliobalehe • Mawasiliano lazima yawe kwenye msingi wa ushirikishi tendaji unaotegemezwa katika kuhusishwa kwa mtu binafsi na maadili yake • Hali hii itawasaidia vijana waliobalehe kuweza: - Kuweka urari kwa mienendo baina ya hatari na starehe - Kusema “la” bila ya kuogopa kupata aibu - Kujizuia na kuchukua mtazamo wa ‘kundi’ katika mwenendo ya ngono - Kutambua ile hali ya kutawaliwa kwa werevu au hila - Kujadili waziwazi. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD Slaidi 14 Asante Wasilisho hili linapatikana katika: www.uicc.org/curriculum UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 8.b. Educational policies Prof. Hélène Sancho-Garnier, MD, PhD