MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1.
Download ReportTranscript MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1.
MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 01 Sura ya 6.c.1 Mbinu za matibabu – Algorithimu Prof. Achim Schneider, MD, MPH Charité Universitätsmedizin Berlin, Ujerumani UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 02 Saratani ya mlango wa kizazi • Uchunguzi na ubainishaji wa ugonjwa • Uwekaji hatua • Tiba - Upasuaji - Mnururisho - Tiba ya kimfumo • Ubashiri wa maendeleo ya mgonjwa • Matibabu ya ufuatiliaji UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 03 Algorithimu: hatua ya IA1 ya FIGO Kutafuta uzazi Upasuaji wa kuondoa koni ya tishu bila uwepo wa saratani kwenye kingo, hakuna vipengele vya hatari Kutotafuta uzazi Upasuaji wa kuondoa vivimbe linzi vya limfu Upasuaji wa kimsingi wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe linzi vya limfu FIGO IA1 Kutafuta uzazi Upasuaji wa kuondoa koni ya tishu na uwepo wa seli za saratani kwenye kingo, au vipengele vya hatari Kutotafuta uzazi Vipengele vya hatari: (L1: Uvamizi wa nafasi ya limfu na mishipa, V1: Uvamizi wa mishipa ya damu, G3: utofautishi mbaya) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Upasuaji wa kiini wa kuondoa mlango wa kizazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na mfuko wa uzazi Upasuaji wa kiini wa aina ya I wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + na vya karibu na mfuko wa uzazi Slaidi 04 Algorithimu: Hatua ya IA2 ya FIGO Kutotafuta uzazi FIGO IA2 Kutafuta uzazi Kutafuta uzazi Upasuaji wa kiini wa aina ya I/II wa kuondoa mfuko wa uzazi, uondoaji wa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + na vya karibu na mfuko wa uzazi Upasuaji wa kiini wa kuondoa mlango wa kizazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na mfuko wa uzazi Upasuaji wa kuondoa koni ya tishu, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 05 Algorithimu: Hatua ya IB1 ya FIGO Uvimbe < sm 2, ± Vipengele vya Hatari FIGO IB1 Kutafuta uzazi Uwekaji hatua za upasuaji Kutotafuta uzazi Uvimbe < sm 2, Vipengele vya Hatari, Uvimbe > sm 2, Upasuaji wa kiini wa kuondoa mlango wa kizazi, na upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na mlango wa kizazi Upasuaji wa kiini wa aina ya II wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na mfuko wa uzazi Vipengele vya hatari (L1: Uvamizi wa nafasi ya limfu na mishipa, V1: Uvamizi wa mishipa ya damu, G3: utofautishi mbaya) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 06 Algorithimu: Hatua ya IB2 ya FIGO Hakuna maambukizi kwa vivimbe vya limfu vya karibu na aota FIGO IB2 Upasuaji wa kiini wa aina ya III wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + na vya karibu na aota Uwekaji hatua za upasuaji Uwepo wa maambukizi kwa vivimbe vya limfu vya karibu na aota Mnururisho kemikali wa msingi Njia mbadala (mapendeleo ya mgonjwa, hali yake ya jumla, hatari ya juu ya utekelezaji) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 07 Algorithimu: Hatua ya IIA ya FIGO Kutokuwepo kwa maambukizi kwenye vivimbe vya limfu kwa FIGO IIA1 FIGO IIA Upasuaji wa kiini wa aina ya II wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na aota, sijafu ya uke Uwekaji hatua ya upasuaji Uwepo wa maambukizi kwenye vivimbe vya limfu kwa FIGO IIA1 au FIGO HHA2 Mnururisho kemikali wa msingi Njia mbadala (mapendeleo ya mgonjwa, hali yake ya jumla, na hatari ya juu ya utekelezaji) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 08 Algorithimu: Hatua ya IIB ya FIGO Kutokuwepo kwa maambukizi kwenye vivimbe vya limfu vya karibu na aota FIGO IIB Upasuaji wa kiini wa aina ya III wa kuondoa mfuko wa uzazi, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu vya fupanyonga + vya karibu na aota, sijafu ya uke Uwekaji hatua ya upasuaji Uwepo wa maambukizi kwenye vivimbe vya limfu vya karibu na aota UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Mnururisho kemikali wa msingi Slaidi 09 Algorithimu: Hatua ya III ya FIGO hatua Uwekaji hatua za upasuaji FIGO III UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Mnururisho kemikali Slaidi 10 Algorithimu: Hatua ya IV ya FIGO Uvimbe hujaenea kupita fupanyonga ndogo FIGO IV Uwezekano wa upasuaji wa kuondoa viungo vyote vya ndani (hali ya jumla, umri, magonjwa ambatani) Hatua za upasuaji zinazowezekana Uvimbe uliopita fupanyonga ndogo Mnururisho kemikali Njia mbadala (mapendeleo ya mgonjwa, hali yake ya jumla, hatari ya juu ya utekelezaji) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 11 Saratani ya mlango wa kizazi ambayo haijatibiwa kikamilifu • Saratani ya uvamizi wa mwonekano wa kihadubini ya hatua ya IA1 isiyo na uvamizi wa nafasi ya vivimbe vya limfu na mishipa • Uvimbe hujaenea kupita mlango wa kizazi na hakuna uwepo wa maambukizi ya uvimbe kwenye kingo za upasuaji • Kingo za upasuaji zimeingiliwa na uvimbe lakini hakuna masazo ya uvimbe yanayoweza kugunduliwa kwa macho • Uvimbe unaweza kugunduliwa kwa macho kupitia kwa uchunguzi wa kimatibabu • Taratibu zaidi za upasuaji: kipimo cha muda kinaweza kubadilika lakini kinaweza kuwa zaidi ya miezi 6 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 12 Matibabu ya daraja ya pili • Mchoro wa upasuaji wa kuondoa kiungo (eneo la kijani) kwa upasuaji wa kuondoa viungo vinavyopakana na mfuko wa uzazi pamoja na kano kuu ya mfuko wa uzazi na masazo ya mnara wa kibofu na mnara wa puru pamoja na sijafu ya uke Ureta Kano ya kitovu Kibofu Ateri ya juu ya vesilika Mvungu wa utando wa fumbatio Vena za . obturata Uke Kano ya kibofu na mfuko wa uzazi Neva ya kiuno Ateri ya mfuko wa uzazi Ateri ya nje ya iliaka Vena ya nje ya iliaka Ateri ya ndani ya iliaka Puru Kano ya puru na uke UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Ureta Slaidi 13 Ujauzito na saratani ya mlango wa kizazi (1) • Matukio ya saratani vamizi ya mlango wa kizazi wakati wa ujauzito: 1/2100 • Ubainishaji - Mara nyingi unacheleweshwa (uvujaji wa damu unaotokana na uvimbe unahusishwa na matatizo ya kuchukua ujauzito) - Uchunguzi wa kwanza: ukaguzi wa mlango wa kizazi kwa kutumia kipakaji cha pamba na kolposkopia - Matokeo yasiyo ya kawaida ya kisitolojia au kikolposkopia: kolposkopia tofautishi ili kuondolea mbali uwepo wa saratani vamizi - Ikiwa kolposkopia na sitolojia zinaonyesha hali tangulizi ya saratani: chukulia kuwa jeraha halitabadilika na kuwa saratani vamizi wakati wa kipindi cha ujauzito (hadi wiki 40) - Wakati kuna shaka ya kikolposkopia na/au kisitolojia ya uvamizi wa mwonekano wa kihadubini au uvamizi : pata bayopsia ya histolojia kwa kutumia bayopsia ya panchi ikiwa jeraha lote liko nje katika shingo la mlango wa kizazi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 14 Ujauzito na saratani ya mlango wa kizazi (2) • Uenezi kwenye sehemu ya ndani ya mlango wa kizazi kunahitaji upasuaji wa kuondoa koni ya tishu - Kimsingi ufanywe kati ya wiki 16 - 20 za ujauzito (ujauzito umeweza kudhibitika na hatari ya kuharibu mimba ni ndogo zaidi) - Kima cha kuharibu mimba baada ya upasuaji wa kuondoa koni ya tishu ni hadi asilimia 33 katika theluthi ya kwanza ya ujauzito - Kushonwa kwa mlango wa kizazi hakufai kutekelezwa wakati huo huo na kunafaa tu kutekelezwa kwa wanawake ambao wana kutodhibitika kwa mlango wa kizazi baada ya upasuaji wa kuondoa koni ya tishu • Ubashiri wa maendeleo ya mgonjwa - Kima kilichoongezeka cha vifo vya vijusi ndani ya mfuko wa kizazi na kujifungua kwa kujianzia kwa mapema - Ubashiri wa maendeleo ya mgonjwa hutegemea pakubwa hatua ya saratani na vilevile vipengele vya hatari (kimo cha uvimbe, hali ya vivimbe vya limfu, kina cha uingiliaji) - Ujauzito wenyewe: hauna athari mbaya au nzuri ya ubashiri wa maendeleo ya mgonjwa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 15 Ujauzito na saratani ya mlango wa kizazi (3) • Saratani vamizi ya mwonekano wa kihadubini - Kujifungua kupitia njia ya uke ikiwa jeraha linacho kina cha uvamizi cha chini ya mm 3 pasipo na uvamizi katika nafasi ya vivimbe vya limfu na mishipa na jeraha limeondolewa kabisa kwa upasuaji wa kuondoa koni ya tishu. - Wiki 6 baada ya kujifungua: upasuaji wa kuondoa vivimbe linzi vya limfu pamoja na upasuaji wa kuondoa mfuko wa uzazi kupitia njia ya uke au utaratibu wa hadhari wa kuhifadhi viungo chini ya ufuatiliaji wa karibu. - Kuhusishwa kwa nafasi ya vivimbe vya limfu na mishipa na kina cha uenezi cha mm 3 - 5: kujifungua kwa njia ya upasuaji baada ya kijusi kuweza kufikia uwezo wa kujitegemea kukifuatiliwa na upasuaji wa kiini wa kuondoa mfuko wa uzazi na upasuaji wa kuondoa vivimbe vya limfu - Upasuaji wa kilaparoskopia wa kuondoa vivimbe vya limfu unaweza kufanywa wakati wa ujauzito ili kuondolea mbali uwepo wa metastasisi ya vivimbe vya limfu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 16 Ujauzito na saratani ya mlango wa kizazi (4) • Hatua ya I na ya II UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 17 Ujauzito na saratani ya mlango wa kizazi (5) • Hatua ya III na ya IV - Mnururisho kemikali unafaa kuanzishwa - Ikiwa kijusi kinaweza kujitegemea : unafaa kufanywa baada ya kuzalishwa kwa njia ya upasuaji - Ubainishaji wa saratani ya mlango wa kizazi iliyozidi wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito: mpatie mgonjwa huduma ya tibaredio ya mwale wa nje, ambayo itasababisha kuharibika kwa kujianzisha kwa mimba - Wakati wa miezi mitatu ya pili ya ujauzito: zungumzia hatari na wazazi kwa utondoti. Matibabu yanaweza kuahirishwa hadi pale ukomavu wa mapafu utafikiwa na kuzalishwa kwa njia ya upasuaji kutekelezwa - Uwekaji hatua za uvamizi kwa njia ya laparoskopia unaweza kurahisisha maamuzi ya kimatibabu. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 18 Asante Wasilisho hili linapatikana katika: www.uicc.org/curriculum UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 6.c.1. Methods of treatment - Algorithm Prof. Achim Schneider, MD, MPH