SEMINA YA USHIRIKA-PEACOCK 25/05/2007

Download Report

Transcript SEMINA YA USHIRIKA-PEACOCK 25/05/2007

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

COMMUNICATION

PRESENTER

Athumani Zidikheri

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

COMMUNICATION

Communication • is the process of transferring information from a sender to a receiver with the use of a medium in which the communicated information is understood by both sender and receiver. • It is a process that allows organisms to exchange information by several methods. • Communication requires that all parties understand a common language that is exchanged 5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 2

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

Mawasiliano

• Mawasiliano ni mchakato wa kupeleka taarifa kutoka kwa mpelekaji kwenda kwa mpokeaji kwa kutumia njia ambayo itawezesha taarifa husika kueleweka na wote yaani mpelekaji na mpokeaji.

• Ni mchakato unaoruhusu wahusika kupashana habari kwa njia mbali mbali.

• Ni muhimu kwa pande zote kutumia lugha inayoeleweka na wahusika 5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 3

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

COMMUNICATION

5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 4

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

COMMUNICATION

• This process requires a vast repertoire of skills in intrapersonal evaluating. and interpersonal processing, listening, observing, speaking, questioning, analyzing, and • Use of these processes is developmental and transfers to all areas of life: home, school, community, work, and beyond. It is through communication that collaboration • • and [1] cooperation occur.

Communication is the articulation of sending a message, through different media.

[2] whether it be verbal or nonverbal, so long as a being transmits a thought provoking idea, gesture , action, etc.

5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 5

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

Mawasiliano

• Mchakato unahitaji uelewa wa kina juu ya taratibu za kibinaadamu – kusikiliza, kuangalia, kuuliza, kuchambua na kutathmini.

• Matumizi ya mchakato huu ni endelevu na unagusa maeneo yote ya maisha – Nyumbani – Shuleni – Jumuiya – Kazini nakadhalika Kupitia mawasiliano ndipo panapotokea ushirikiano 5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 6

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

Mawasiliano

Mawasiliano yanakuwa kwa njia ya • Mazungumzo – Kuongea (Verbal).

• Pasipo kuongea (Non Verbal) La msingi ni kukamilika kwa kutoa taarifa husika

ASANTENI!

5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 7

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

ASANTENI SANA!

5/1/2020 Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 8

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED

BALANCE SHEET (MIZANIA)

ASSETS (MALI) CURRENT ASSETS (MALI MUDA) LIABILITIES (DHIMA) CURRENT LIABILITIES (DHIMA YA MUDA) NON CURRENT ASSETS (FA) (MALI ZA KUDUMU) 5/1/2020 LONG TERM LOANS (MIKOPO MUDA MREFU) OWNERS EQUITY (MAWEKEZO) Wafanyakazi Wa Posta na Simu SACCOS 9