MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5.
Download ReportTranscript MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5.
MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 01 Sura ya 5. Matumizi ya chanjo za HPV Prof. Suzanne Garland MD Mkurugenzi wa Utafiti wa Mikrobiolijia Mkurugenzi wa Mikrobiolojia ya Utibabu na Magonjwa ya Kuambukiza Hospitali ya Wanawake ya Royal Melbourne, Australia UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 02 Uteuzi wa kundi la umri linalofaa kupata chanjo • Maambukizi ya HPV ya sehemu za uzazi ni maambukizi ya kawaida ya zinaa ‒ ‒ ‒ Huambukizwa kwa urahisi: ndani ya miezi michache baada ya kuanza kujamiiana Hatari jumuishi ya maambukizi katika muda wa maisha ya mtu : asilimia 50-80 Hatari jumuishi ya kupata maambukizi ya HPV16 na/au HPV 18 ≈ asilimia 201 • Historia ya kimaumbilie ya HPV ‒ Maambukizi mengi zaidi ya HPV ni ya muda mfupi: wengi wa wanawake wenye umri mdogo hupona kutoka kwa maambukizi ya HPV ndani ya miaka 1-2 2 • Utapakaaji wa aina za HPV ‒ ‒ ‒ Utapakaaji wa HPV miongoni mwa idadi tofauti za wanawake huanzia asilimia 2-44%, huku utapakaaji wa jumla ulimwenguni ukiwa asilimia 10.4 Umri-tegemezi Maumbo mbali mbali katika nchi tofauti 3 1 Baseman J et al. Clin Virol 2005;32:16-24. Sankaranarayanan R et al. Vaccine 2008; 26: Suppl 12:M43-52. 3 de Sanjosé S et al. Lancet Inf Dis 2007;7:7 453-459. 2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 03 Uteuzi wa kundi la umri linalofaa kupata chanjo Miitikio ya zindiko katika makundi ya umri yanayojulikana • Miitikio ya zindiko imetumika kama kama kuweza kibadala (surrogate) ili kushika pengo la ufanisi dhidi ya ugonjwa wa mlango wa kizazi na/ au wa uke katika:1-3 ‒ Wanawake wenye umri mdogo ‒ Vijana ambao bado hawajabalehe ‒ Wanawake waliokomaa • Msingi wa kuamua usajili 4 1 Munoz N et al. Lancet 2009;373:1949-57. Block SL et al. Pediatrics 2006;118(5):2135-45. 3 Pedersen C et al. J Adolesc Health 2007;40(6):564-71. 4 Skinner SR et al. Med J Aust 2008;188(4):238-242. 2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 04 Uteuzi wa kundi la umri linalofaa kupata chanjo • Ufanisi dhidi ya ugonjwa wa HPV inaohusiana na chanjo unawiana na uwepo wa zindiko za seramu 1-4 • Wapokezi wanaonyesha ukuaji wa haraka wa ukolezi wa kiwango cha juu (mara nyingi zaidi kuliko ilivyo katika maambukizi ya kawaida) • Kwa sasa hakuna uwiano wa ulinzi uliotambuliwa • Miitikio ya kinga hutegemea umri 1 5,6 Harper et al Lancet 2006:1247-55. Villa LL et al Brit J of Cancer 2006;95(11):1459-66. 3 Villa LL et al. Vaccine 2006;24:4931-39. 4 Harper D et al. Gynec Oncol 2008;109(1):158. 5 Block SL et al. Pediatrics 2006;118(5):2135-45. 6 Pedersen C et al. J Adolesc Health 2007;40(6):564-71 2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 05 Uteuzi wa kundi la umri linalofaa kupata chanjo • Hutegemea umri wa kuanza kujamiiana (unaotegemea tamaduni) : umri wa kuanza kujamiiana unazidi kupungua muda unavyopita katika baadhi ya nchi, lakini mtindo huu huonekana kwa kiwango cha chini na umeenea kwa kiwango kidogo kuliko inavyodhaniwa wakati mwingine. 1 • Chanjo za HPV zuiaji zimepewa leseni ya kutumika kwa walio na umri wa miaka 9 hadi 12 katika nchi nyingi 1 Wellings K et al. Lancet 2006; 368:1706-28 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 06 Uteuzi wa kundi la umri linalofaa kupata chanjo • Inafaa kuzingatia utendaji katika utoaji wa chanjo ‒ Taratibu zinazotekelezwa shuleni ‒ Taratibu zinazolenga afya ya vijana waliobalehe ‒ Taratibu zinazozingatia mtekelezaji • Shirikiana na taratibu za chanjo ya watoto (EPI) zilizoko tayari na zilizoenea ‒ Ongeza hadi upeo utekelezaji kwa kutumia miundomsingi ya chanjo iliyowekwa tayari UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 07 Chanjo ya HPV kwa wavulana? • Majaribio ya utibabu kwa Wavulana ‒ Uwezo wa kusisimua kinga (immunogenicity) umeonyeshwa kwenye chanjo zote mbili ‒ Matokeo ya mwanzoni yanapatikana na yanaonyesha ulinzi dhidi ya maambukizi na sugu za sehemu ya nje ya viungo vya uzazi kwa chanjo ya antijeni nne15 • Unafuu wa gharama yake? • Huenda ukaruhusu kutofanyiwa unyanyapaa kwa wanawake • Kinga ya kikundi: athari kwa wanawake waliotumia kiwango cha chini cha chanjo 13 Reisinger KS et al. Pediatr Infect Dis J. 2007 Mar;26(3):201-9. Petäjä T et al. J Adolesc Health. 2009 Jan;44(1):33-40. 15 Palefsky J. Eurogin February 2010. 14 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 08 Je chanjo zuiaji ya HPV inaweza kuchukua nafasi ya uchunguzi wa mlango wa kizazi? • Ufanisi kufuatia vipimo vitatu vya chanjo kwa wale ambao ni wanyofu kwa HPV zinazohusiana na chanjo ni karibu asilimia 100 16-18 • Karibu asilimia 30 ya saratani zinasababishwa na HPV ambazo hazina uhusiano na chanjo - Kinga kwa kiasi kikubuwa huwa maalum kwa aina • Ulinzi wa kiasi fulani unaoingiliana kwa aina za HPV zinazohusiana katika ugeuzi wa kimaumbile (phylogenetically related) na HPV 16 na HPV 18 16 Garland SM et al. NEJM 2007;356:1928-1943. FUTURE II SG. NEJM 2007;356:1915-1927. 18 Paavonen J et al. Lancet 2007;369:2161-2170. 17 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 09 Je chanjo zuiaji ya HPV inaweza kuchukua nafasi ya uchunguzi wa mlango wa kizazi? • Uchunguzi wa aina fulani bado inaohitajika • Changamoto na utaratibu wa kutekelezwa wa chanjo: 19 ‒ Kiwango cha hisi cha chunguzi na thamani chanya ya utabiri kwa majeraha ya kiwango cha juu itaweza kupunguzwa kwa chanjo ‒ Mzigo wa siku za usoni wa kupata saratani utapunguzwa kwa uzuiaji wa kimsingi, taratibu za uchunguzi wa mlango wa kizazi zitakuwa na uchache wa unafuu wa gharama ‒ Huenda chanjo sizieleweke kuhusu mahitaji ya kufanya uchunguzi wa Pap 19 Cuzick et al. Vaccine 26S; 2008: K29-41. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 10 Utoaji wa chanjo kwa wanawake wanaofanya ngono: je, upimaji wa awali wa DNA ya HPV ni wa lazima? • Kutoka kwenye mtazamo wa afya ya umma, hali hii haipendekezwi - Kipimo kinachoonyesha kuwa hakuna maambukizi hakikuambii ikiwa mwanamke amewahi kupata maambukizi hapo awali - Kipimo kinachoonyesha kuwa kuna maambukizi huenda kikaashiria maambukizi yaliyopatikana upya au maambukizi ya kudumu - Kipimo kinachoonyesha kuwa hakuna maambukizi sana sana hupatikana wakati kuna maambukizi ya mpito UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 11 Utoaji wa chanjo kwa wanawake wanaofanya ngono: inafaa kupima zindiko kabla ya kutoa chanjo? • Zindiko za HPV ‒ Kiashirio duni cha maambukizi ya awali au ya sasa, asilimia ~ 60 ya wale ambao wanaonyesha uwepo wa DNA ya HPV wana mwitikio wa kiserolojia unaoweza kupimika 20 ‒ Miitikio ya kiserelogia ni ya pole pole (huchukua hadi miezi 12 – 18 baada ya maambukizi) ‒ Hakuna uchambuzi wa vijenzi wa kubainisha wa unaotegemeka ‒ Chambuzi za vijenzi zinafaa kusanifishwa21 20 21 Carter JJ et al J Infect Dis 2000, 181,1911-1919. Pagliusi SR, Garland SM. Molecular Markers 2007;9(32):1-14. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 12 Fursa za chanjo ya HPV katika nchi zilizo na kiwango cha chini cha rasilimali • Taratibu za chanjo kwa watoto zinazopewa ruzuku na GAVI katika nchi 72 (mwisho wa 2008 / mwanzo wa 2009) • Mahitaji ya chanjo za HPV zinazofanana na zile zilizoidhinishwa na GAVI • Bei zilizopunguzwa za chanjo za HPV kwa nchi maskini zaidi - Mipango Anzilishi na Maendeleo ya Kasi (ADIP) - Taratibu kama vile Ahadi ya Soko Pevu (AMC) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 13 Je, sindano tatu ni za lazima kwa ulinzi wa kutosha? • Takwimu chache sana kuhusu uzuiaji wa maambukizi au ugonjwa na ratiba ya vipimo viwili ‒ Ukubalifu wa hali ya juu washiriki wa utafiti kwa ratiba ya vipimo vitatu • Kulingana na asili ya chanjo, kuna uwezekano mkubwa kuwa vipimo vitatu vitahitajika kama vile ilivyo na HBV • Utafiti wa kutathmini mabadiliko kwa mipango ya chanjo ya sasa bado unaendelea UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 14 Ufanisi wa chanjo: haja ya ufuatiliaji wa kuendelea • Kuainisha jenomu za HPV - Utapakaaji: sitolojia ya kawaida, kubadilika kwa seli za mlango wa kizazi, saratani - Mabadiliko ya utapakaaji yanayohusiana na chanjo? - Ulinzi dhidi ya aina zisizokuwa za chanjo zinazohusiana katika ugeuzi wa kimaumbile? - Kubadilisha aina za chanjo za HPV? - Kutofanya ufuatiliaji wowote wa HPV • Ufuatiliaji wa sugu za viungo vya uzazi (wake na waume) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 15 Kujumuisha mambo yote: Utaratibu wa chanjo ya HPV nchini Australia • Australia ilikuwa nchi ya kwanza kutekeleza utaratibu wa kitaifa wa chanjo iliyofadhiliwa na serikali • Chanjo hili ilikua kwa wasichana na hata wavulana • Ilijumuisha utaratibu wa kufikia wanawake • Utaratibu wa uchunguzi wa saratani tayari unaendelea UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 16 Utaratibu wa Kitaifa wa Australia wa Chanjo ya HPV (1) • Novemba 2006 - Waziri wa Afya wa Jumuiya ya Madola alitangaza kufadhiliwa kwa chanjo ya HPV (Gardasil®) • Aprili 1 2007 - Ukaongezwa kwenye Utaratibu wa Chanjo wa Kitaifa katika mpango wa kuendelea kwa wasichana walio na umri wa miaka 12– 13 kupitia shule • Julai 2007 – Disemba 2009 - Utaratibu fuatilizi wa kufikia wake walio na umri wa miaka 12-26 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 17 Utaratibu wa Kitaifa wa Australia wa Chanjo ya HPV (2) Viungo vitatu : • Utaratibu unaoendelea unaotekelezewa shuleni 1. Wasichana walio na umri wa miaka 12 -13 (walio katik mwaka wa kwanza wa shule ya upili ya juu) • Utaratibu fuatilizi wa miaka 2 hadi 2009 2. Wasichana/vijana wa kike waliobalege walio na umri wa miaka 12 -18 ‒ Utaratibu wa kutekelezewa shuleni +/- jamii wa “kufagia” 3. Wanawake walio na umri wa miaka 18-26 ‒ Madaktari wa kawaida na huduma nyinginezo zinazotekelezewa kwenye jamii UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 18 Utaratibu wa Kitaifa wa Australia wa Chanjo ya HPV (3) • Utoaji wa chanjo (kufikia mwisho wa Mei 2009) ‒ Vipimo milioni 5 vya chanjo vilisambazwa (asilimia ~80) kikundi cha mwaka wa kwanza ‒ Ufikiaji wa asilimia ~60% ya idadi iliyostahili katika kundi fuatilizi la wanawake wenye umri mdogo ‒ Maeneo ya vijijini: asilimia 70 ya makundi lengwa yalipata kipimo cha kwanza UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 19 Utaratibu unaotekelezwa kwenye jamii: walio na umri wa miaka 18-26 • Kundi la umri lililo gumu kuhakikisha kukamilishwa kwa ratiba ya chanjo ya vipimo 3 • Mkakati wa utekelezaji : ‒ Kuhamasisha na kuwapa uwezo wanawake wenye umrimdogo ili kulinda nafsi zao ‒ Kufadhili kliniki za madaktari wa kawaida ili kuendeleza kampeni za chanjo kwa umakini ‒ Kampeni ya matangazo ya kiwango cha juu pamoja na mahusiano ya umma UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 20 Rajisi ya Kitaifa ya Chanjo ya HPV • Rajisi ya Kitaifa ya Chanjo ya HPV ilizinduliwa na Serikali ya Australia (VCCR) ‒ Kukusanya taarifa kuhusuutaratibu wa chanjo ‒ Kutathmini athari ya chanjo kwa vima vya hali isiyo kawaida ya mlango wa kizazi na saratani kwa kulinganisha na rajisi za vipimo vya Pap • Nyaraka za vipimo vya chanjo ya HPV na tarehe ya kutolewa ‒ Kadiri ufikiaji ulio maalum kwa umri uliotekelezwa ‒ Wasiliana ikiwa vipimo vya kuongeza vinahitajika ‒ Unganisha na rajisi vile za Kaguzi za Pap ‒ Tathmini athari za chanjo kwa saratani ya mlango wa kizazi • Watoaji ni lazima watoe ripoti ya chanjo katika kundi la umri wa miaka ya 12-18 ‒ Mabaraza ya Victoria yanayotumia Mfumo wa Utoaji Chanjo (ImPS) ukusanye takwimu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 21 Mafunzo yaliyopatikana, maelekezo ya siku za usoni na changamoto • Fursa za kuuanganisha Rajisi ya Kitaifa ya chanjo ya HPV na: ‒ Rajisi ya uchunguzi wa sitolojia ya mlango wa kizazi ‒ Ufuatiliaji wa utapakaaji wa jenotipu ya HPV kabla na baada ya chanjo. ‒ Hatimaye rajisi za saratani kwa ufuatiliaji unaoendelea • Mawasiliano, maoni, ukarimu n.k. • Ufanisi wa chanjo • Utathmini wa shughuli za uchunguzi wa mlango wa kizazi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 22 Mafunzo yaliyopatikana, maelekezo ya siku za usoni na changamoto • Mitazamo ya utekelezaji wa taratibu za chanjo ya HPV ni tofauti baina ya nchi • Australia, Uingereza, Kanada: Taratibu za chanjo zilizo na ufanisi ambazo kimsingi zinatekelezewa shuleni, na kwa kiasi kikubwa zifadhiliwa na fedha za sekta ya umma kwa wasichana waliobalehe wa makundi yote ya umri yanayostahili 1-3 • Matokeo yake ni vima vya juu kwa kiasi fulani vya ufikiaji wa chanjo ya HPV: k.m. Nchini Australia ufikiaji wa hadi asilimia 80 2,3 1 Shefer et al. Vaccine 2008;26(Suppl 10):K68-75 Brotherton JM et al. Commun Dis Intell 2008;32:457-61 3 Garland SM et al. Vaccine 2008;26(Suppl 12):M80-8 2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 23 Changamoto na maelekezi ya siku za usoni • Kikundi cha wanawake wa Australia ambao kwa kiwango kikubwa walipata chanjo • Rejelea na kuelekeza upya Utaratibu wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Kizazi (NCSP) ulioanzishwa mnamo 1991 • NCSP kwa sasa inapendekeza uchunguzi wa sitolojia ya mlango wa kizazi kwa wanawake wote ambao wamewahi kufanya ngono ‒ Anzia miaka 18-20 au miaka 1-2 baada ya kuanza kufanya ngono, lile litakalokuja baadaye ‒ Rudia ukaguzi wa Pap kila baada ya miaka 2 ‒ Ukaguzi unaisha katika umri wa miaka 70 ikiwa mwanamke amekuwa na kaguzi 2 za Pap zilizo kawaida ndani ya miaka 5 iliyopita. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD Slide 24 Asante Wasilisho hili linaweza kupakuliwa katika tovuti ya UICC: www.uicc.org/curriculum UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 5. Application of HPV vaccines Prof. Suzanne Garland MD