MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4.
Download ReportTranscript MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4.
MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Slide 01 Sura ya 4. Uzuiaji wa kinga dhidi ya maambukizi ya HPV Prof. Margaret Stanley PhD Mkurugenzi wa Utafiti, Idara Ya Patholojia Chuo Kikuu cha Cambridge, Uingereza UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Slide 02 Miitikio ya kinga na HPV • Je miitikio ya kinga inazalishwa vipi • Je HPV huambukiza vipi na kuepuka kutambuliwa na kinga • Kwa nini chanjo za HPV zina matokeo yanayotarajiwa UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Slide 03 Kinga ni ubia: ushirikiano kwenye mfumo wa kinga Kinga ya ndani kwa ndani Ishara za hatari: k.m. kifo cha seli, virusi Kinga zoelefu Kinga patanishwa ya seli • TLR Seli zinazowasilisha antijeni Uchochezi wa miitikio ya kinga zoelefu • • • • • • Hakuna kumbuko Si antijeni mahususi Huchochewa na kifo cha seli UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Kinga ya majimaji ya mwili Umahususi wa antijeni Uuaji seli Kuzimuliwa kwa pathojeni na seli zinazopigana na magonjwa mwilini Kumbuko la muda mrefu Slide 04 Miitikio ya kinga iliyozoeleka Kinga patanishwa ya seli CD4 Th1 CD8 CTL Sitokaini (IFN-gamma) Kinga ya majimaji ya mwili CD4 Th2 CC40/CD40L Sitokaini (IL-4, IL-13) Seli ya B NK* Makrofaji iliyochochewa* IgM IgG IgA IgE Y Y * Seli na viungo maalum vya ndani kwa ndani huboreshwa na kuchochewa na miitikio iliozoeleka UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Slide 05 Seli zinazowasilisha antijeni (APC) • Sifa za ATC: uwezo wa kuchukua protini,kuzigawa vipande vipande,kupakia kwenye MHC na kuwasilisha muundo huu changamano kwenye uso wa seli kwa limfositi za mfumo wa kinga zoelefu • Vipokezi maalum vya protini (TLR) husaidia kutambua asili ya pathojeni. Seli ya dendritiki (parenteral) Muundo changamano wa MHCpeptidi Seli ya B Endofagositosisi ya antijeni Seli ya Langerhans (epithelial) UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD Kipokezi cha seli ya B Slide 06 Kazi za ATC • Kumeza pathojeni • Ina vipokezi kama vile vipokezi maalum vya protini (TLR) ambavyo hutahadharisha seli kuhusu maambukizi • Kuwasilisha miundo changamano ya peptidi-MHC kwa seli za T • Inazo ishara za utofautishaji wa seli za T TLR MHC II APC UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 07 Seli saidizi za T: vichochezi vya kinga zoelefu Utofautishaji wa seli za T hutegemea ishara zinazotoka kwa ATC na saitokini inayotolewa Mwitikio wa seli Th1 IFN- TCR CD4 Seli T nyonge CD4 Mwitikio wa kinga-virusi TCR Seli za T zilizo nyonge na saidizi hubeba kialamishi cha CD4, kipokezi cha seli za T zenya asili moja, na huwa bado hazijawekwa kwenye msururu wa kisaidizi T UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Seli zinazoua seli zingine CD4 Th2 CD4 TCR Seli B IL-4 IL-10 IL-13 Slide 08 Uchocheaji na utofautishaji wa seli saidizi za T Saini ya molekuli ya pathojeni Sitokini za Th1 TLR Th1 IFN- Kumezwa kwa pathojeni na seli CD4 Seli nyonge ya T CD4 APC Th2 MHC II TCR Sitokini na kemokini za Th2 CD4 Utayarishaji wa seli nyonge za CD4 T na uanzilishi wa miitikio ya seli saidizi za T za CD4 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Il-4 IL-10 IL-13 Slide 09 Kwenye kivimbe cha limfu Antijeni halisia TLR Y Y Seli ya plasma inayotoa kingamwili BCR Seli ya B CC40/CD40L Th2 Seli ya B ya kumbuko Antijeni zoelefu ya seli ya T BCR =Kipokezi cha seli ya B TLR = Kipokezi maalum cha protini (TLR) Utayarishaji wa seli B nyonge , kisaidizi cha seli T na uzalishaji wa seli za plasma zinazotoa kingamwili UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 10 Miitikio ya kinga zoelefu • Msaada wa seli Th2 kwa seli za B ni muhimu sana kwa kutekeleza yafuatayo: - Ubadilishanaji wa daraja: uamuaji wa aina ya zindiko (k.m. IgG, igA na igE) - Kiasi cha kinachotolewa kinachotolewa kinachoamuliwa na saitokini za Th2, ambazo hurekebishwa na: - Aina ya antijen - Kiasi cha antijeni - kisaidizi - njia ya kiutawala ya antijeni • Uzalishaji wa kumbuko la seli za B na ufaafu wa mwitikio wa kukumbuka antijeni chini ya udhibiti wa seli kumbuko za Th2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 11 Miitikio ya kinga zoelefu Seli za B • Kuna aina mbili za seli za B: - Seli B za kumbuko: jukumu lake ni kukumbuka mwitikio wakati zimekutana na antijeni - Seli za Plasma B: bila kusita hutoa zindiko kwa angalau mwongo mmoja. Seli za kumbuko B Seli B Seli moja ya B inapokutanishwa na antijeni mahususi huzalisha seli B nyingi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Y Y Y Y Seli za plasma ambazo zimeishi muda mrefu Slide 12 Mzunguko wa maambukizi ya HPV Seli zilizojaa virusi tayari kunyumbuka na kuambukiza seli nyonge Mkusanyiko wa viini vya virusi Kuonyeshwa kwa jeni za virusi vya seli E na L zilizofautishwa Kugawa seli Jeni za E pekee ndizo zinazoonyeshwa Viwango vya chini zaidi vya protini vinatengenezwa Jenomu za virusi kiasi cha 1000 kwa kila seli Ukuazaji wa virusi vya DNA katika seli zisizogawanyika Virusi na seli hurudufisha kwa pamoja Virusi huambukiza keratinothaiti nyonge na ya msingi kwa nakala/seli za kiwango cha chini (chini ya 10) Hakuna viraemia, hakuna sitolimfiti au kifo, mzunguko mrefu wa maambukizi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 13 Mzunguko wa maambukizi ya HPV za hatari ya juu • HPV E6 na E7 hurekebisha kwa kupunguza mwitikio wa intaferoni • Viwango vya chini sana vya protini,na hakuna viremia • Hakuna kifo cha seli, hakuna uvimbemchungu • wakati hakuna uvimbemchungu - Keratinositi haitoi saitokini zinazosababisha kuvimba - Kutochochewa kwa seli za Langerhans na/au seli za stromali dendritiki LC - Hakuna kichangamshi cha uchochezi, uhamaji, uchakataji wa antijeni Stromal DC na uwasilishaji wa DC. HPV hushambulia mwitikio wa kinga wa ndani na huchelewesha uchocheaji wa kinga zoelefu UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 14 Utaratibu wa Kawaida wa Maambukizi ya HPV ya Sehemu za Siri Maambu kizi Kutoonyesha Maambukizi Muda wa wastani miezi 9 Jeraha la kwanza Mwitikio wa kinga unaotokana na seli Muda wa utamiaji Unatofautiana sana (Mwezi1-6-? ) Hayaonekani kwenye DNA Jeraha inazidi kudidimia Yanaonekana kwenye DNA Kuendelea kudidimia kwa maambukizi kimatibabu Hayaonekani kwenye DNA Ugonjwa unaodumu au kurudi DNA inayo maambukizi Aina za HPV za kiwango kikubwa cha hatari huchukua muda mrefu kumalizika kuliko zile za kiwango kidogo cha hatari UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 15 Maambukizi ya Kawaida ya HPV • Maambukizi ni ya kawaida mno lakini mengi hupona yenyewe • Kupona kunatokana na mwitikio wa kinga unaotokana na seli kwa protini za mapema • Mwitikio wa kinga wenye ufanisi huenda ukaambatana na kutoonekana kwa maambukizi na zindiko kwa protini ya kspsidi ya L1 • Viwango vya chini zindiko kwa sababu chembe za viini hutolewa kwenye sehemu ya juu ya safu za seli za epithelia (squamous epithelium) na huwa na mfiko wa taabu kwenye mishipa midogo ya damu na mfumo wa lymfu. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 16 Majeraha na maambukizi ya mlango wa uzazi Makutano yaSquamocolumnar Mlango wa kizazi/uke wa kawaida junction Kutofautika kwa seli kwenye Squamous metaplasia • Jeraha ndogo kwenye hufichua utando wa msingi ambao HPV hushikamana nao kabla ya kuingia kwenye keratinosati • Kuachwa wazi kwa epithelia kutasababisha eneo hilo kutokwa kukali (exudation) na mfiko wa haraka wa seramu ya IgGf kwenye viini vya virusi UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 17 Chanjo za VLP • Fanisi katika kuzalisha viwango vya juu vya zindiko - VLP hudungwa ndani ya mwili kwenye misuli huku ikiwezesha ufikiaji mzuri wa limfu na hutoa maji kwenye vivimbe vya limfu pale ampapo mwitikio wa kingamwili huanzishwa na seli za kumbukumbu hukuzwa - VLP huweza sana kuchochea kinga, hivyo basi kuamsha APC na seli za B na T • Zindiko huweza kuzimua na hulenga aina mahususi -Zindiko zinazoweza kujibizana kuzimuana huweza kutokea kwa aina za HPV zinazohusiana • Zindiko hudumu angalau miaka 6 baada ya chanjo UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide Miitikio ya jumla ya zindiko kwa kutumia chanjo yenye antijeni mbili katika wanawake wa makamo 18 100000,0 HPV 16 Mwitikio wa chanjo ≥98% 1000,0 100,0 10,0 Maambukizi ya kimaumbile 1,0 0 7 12 18 25-32 33-38 39-44 45-50 51-56 57-62 63-68 69-74 75-76 Muda wa ufatilizi(MU) 100000,0 HPV 18 Mwitikio wa chanjo ≥98% 10000,0 ED 50 ED 50 10000,0 1000,0 100,0 Maambukizi ya kimaumbile 10,0 1,0 0 7 12 18 25-32 33-38 39-44 45-50 51-56 57-62 63-68 69-74 75-76 Muda wa ufatilizi (MU) Miseto iliyopimwa kwenye HPV-16/18 kwa kutumia uchambuzi wa mwigo wa kuzimua Wajaribiwa wa ELISA waliionyesha kuwepo/kutokuwepo kwa maambukizi kwenye DNA Yametolewa katika Dessy F et al. Oral presentation IPC 2007: abstract 5B-01 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 19 Uzimuaji zindiko miongoni mwa wasichana, wavulana na wanawake waliopokea chanjo yenye antijeni nne Wasichana-Umri wa miaka 10-15 Wavulana- Umri wa miaka 10–15 Wanawake –Umri wa miaka 16–23 Ueneaji kwa kutumia vipimo vya damu 99.7-100% *GMT = wastani wa giometriki marekani Block S, Nolan T, Sattler C et al. Pediatrics. 2006;118(5):2135 2145. GARDASIL™ Merck & Co., Inc., Whitehouse Station, NJ, USA. UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide Viwango vya zindiko ya HPV16 baada ya kupokea chanjo yenye antijeni mbili miongoni mwa wanawake 20 Miaka 15–25 Masomo ya ustadi Miaka 15–25 Miaka 26–35 Miaka 36–45 Miaka 46–55 10000 Angaa mara 8 juu zaidi kuliko maambukizi ya kimaumbile GMT (EU/ml) 1000 100 Maambukizi ya kimaumbile 10 1 0 7 12 18 24 39–44 Miezi 51–56 63–64 75–76 Assay cut-off: 8 EU/ml Yametolewa kutoka kwa Harper DM et al. Lancet 2006; Presentations: Gall S. AACR, 2007; Schwarz TF Eurogin, 2007; Wheeler C, ESPID, 2008 Cervarix™ Glaxo SmithKline, Rixensart Belgium UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunology and vaccinology of HPV Prof. Margaret Stanley PhD Slide 21 Asante Wasilisho hili linaweza kupakuliwa katika tovuti ya UICC: www.uicc.org/cervicalcancercurriculum UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 4. Immunoprevention of HPV infections Prof. Margaret Stanley PhD