DFL 5 UJASIRIAMALI AWAMU YA 2 Fursa-1

Download Report

Transcript DFL 5 UJASIRIAMALI AWAMU YA 2 Fursa-1

SOPHIST TANZANIA
COLLEGE
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
KWA WANACHAMA
POSTA NA SIMU SACCOS
AWAMU YA PILI
MADA
FURSA ZA BIASHARA
Dominick Francis Haule
Phil, Mass Comm,
S A U T, M E E D U D S M
UZOEFU
S
Amri 10 za fedha za Dangote
Dangote’s 10 commandments
on Money
S
S
S
S
S
Go into business for which you have passion
Fanya biashara unayoipenda
Start small
Anza biashara ndogo/kidogo
Sell cheap, keep standard but don’t kill the
competition
S Uza bei nzuri, zingatia ubora, usiogope
ushindani
S Hard work
S Fanya kazi kwa bidii
Dangote’s 10 commandments
on Money
S Adopt ‘catch me if you can’ as a business
policy (don’t be into business just to add to
the numbers).
S
S
S
S
S
Fanya ushindani ki-maendeleo
Be law abiding, don’t fight government
Fuata sheria, Usishindane na Serikali
Go into manufacturing
Fanya Bishara ya Uzalishaji
Dangote’s 10 commandments
on Money
S Belive in Nigeria (Tanzania?)
S Iamini Nchi yako, Uzalendo
S Always be on lookout for needs to
satisfy
S Zingatia mahitaji ya soko
S Give pleasure to the society and
take away pain
S Wape watu nafuu, waondolee maumivu
Utangulizi
S Ujasiriamali ni
uwezo na nia ya kuendeleza,
kuandaa na kusimamia mradi wa biashara bila
kujali hatari zake kwa nia ya kupata faida.
S Katika uchumi, ukiuchanganya ujasiriamali na
Ardhi, nguvu kazi, rasilimali asilia, na mtaji
utaweza kupata faida.
Utangulizi Unaend…
S Wajasiriamali wenye ari ya kuthubutu, wabunifu na
wasiojali hatari zozote katika biashara ndio huwa
moyo wa maendeleo ya nchi yoyote.
S Uchumi wa nchi yetu unakuwa, wanaofanya kazi
watakuwa na hali nzuri na watakaoamua kulala
wataendelea kulia kila kukicha.
S Imedhihirika kuwa, hatua ya kwanza ya kuanza
biashara ni KUTHUBUTU NA UTAWEZA.
Fursa za Bishara
S Katika mada hii tutaona;
S Mchakato wa Kupata Msukumo wa kubuni
wazo la biashara.
S Jinsi ya kuanzisha biashara.
S Kudumu katika biashara.
S Kukua katika biashara.
S kuimarika kibiashara.
Fursa za
Biashara
zinaende…….
S Kufikia
kiwango cha
mafanikio
na
maendeleo
ya
Biashara.
Ubunifu, Jinsi ya kuanzisha
Mradi
S Biashara inaanzishwa kwa hatua, na hatua ya
kwanza ni kuitambua fursa ya biashara katika
mazingira yanayotuzunguka
S Hatua ya pili ni kuiweka fursa katika wazo zuri la
Biashara ili kukidhi
kuanzisha mradi na
hitaji
la
kitaalam
la
S Hatua ya mwisho ni kuanzisha biashara na
kuisimamia kikamilifu na kuifanya biashara
kitaalam.
Jinsi ya kuanzisha mradi
S Fursa
za kibiashara zinapatikana katika
mazingira tunayoyaishi na mtu yeyote anaweza
kuanzisha biashara kwa namna zifuatazo: -
i. Kuendeleza biashara ya familia kwa ubia au
urithi
ii. Kuiga au kufanya biashara inayofanywa na
familia au mtu mwingine
iii. Kuanzisha biashara baada ya kupunguzwa kazi
Jinsi ya kuanzisha mradi
i.
Kwa kutumia mafao na malipo mbali
mbali [e.g. Golden handshake]
ii. Kuanza kwa kutumia rasilimali mbali
mbali binafsi zisizo na mahusiano na
malipo ya kazini. [kufukuzwa kazi]
S Kuanzisha biashara kwa uzoefu binafsi
au ujuzi na ubunifu binafsi
Je, tunaweza anzisha biashara
bila fedha?
S Tunawezaje
kuanza biashara
bila ya fedha?
S Tusikie mifano
michache.
Ubunifu na uanzishaji wa mradi
bila fedha
S Akili na maarifa vinatosha kuanzisha biashara
S Ubunifu pamoja na matumizi mazuri ya akili
na maarifa katika kuona fursa na vyanzo vya
biashara vinavyohitaji ujuvi, ujuzi na bidii ya
kazi au nguvu
S Anza na kuainisha fursa zote ambazo zimo
katika mazingira yanayotuzunguka, rejea
namna mbili za kuchagua na kufahamu fursa.
Ubunifu na uanzishaji wa mradi
bila fedha
Chagua fursa tatu katika nyingi ambazo
unaweza kumudu kuzianza kwa akili, maarifa
na nguvu zako
S Biashara hizo zinaweza kutoka katika orodha
ya biashara zinazopatikana kwa kuchagua
MATUMIZI
YA
MAPATO
NA
MATATIZO
YA
MAENEO
TUNAKOTAKA KUWEKEZA.
Biashara na utaalam ili kudumu katika
Biashara
S Katika biashara tatu zilizoainishwa, chagua
biashara moja iliyofanyiwa upembuzi yakinifu
ili kuiweka kitaalam
S Zingatia mambo yote muhimu ya kitaalam
kama vile; gharama za uanzishaji, gharama za
uzalishaji, Muda utakaotumika, Mazingira ya
masoko, pamoja na vipimo vya kitaalam katika
biashara hiyo, mfano:-
Biashara na utaalam ili kudumu
katika Biashara
-
Eneo la mradi
- Kiasi cha malighafi au mahitaji ya uanzishaji
biashara
- Gharama za uendeshaji kama vile mahitaji
endelevu
- Gharama za wafanyakazi, mafunzo, na kuingia
sokoni
Kumjali mteja na masoko,
Kukua katika Biashara
S Biashara ni marafiki, mtandao mkubwa wa
watu. Kupoteza au kutowajali wateja ni sawa ni
kupanga kufilisika katika biashara
S Ni muhimu sana kujua mbinu za kumjali mteja
kwani kwa kufanya hivyo, unamlazimisha mteja
kutawanya sifa za mjasiriamali kwa watu zaidi
ya watano. Sifa mbaya za mjasiriamali,
hupelekwa na mteja kwa watu zaidi ya kumi.
Kumjali mteja na masoko, Kukua
katika Biashara
S Hayo ni miongoni mwa mambo muhimu
sana katika malengo ya kukuza biashara.
Kuimarika Kibiashara
S Baada ya biashara kukua, biashara inahitaji
iwekwe kwa namna ya kuwa imara
S Biashara imara ni ile biashara inayofuata
misingi yote muhimu ya kibiashara ikiwa ni
pamoja na kuwa na vyanzo vizuri vya kununua
mali au malighafi na kuwa na masoko ya
uhakika hasa masoko yale yanayozingatia
mahitaji ya wateja. Ni vizuri kutafiti wateja
wanatarajia huduma au bidhaa za aina gani.
Kuimarika Kibiashara
S Biashara imara ina sifa ya kukopesheka,
pesheka, inakopesha, inajiendesha bila
tatizo na inajenga misingi ya aina zote za
makuzi ya kibiashara
Mafanikio na Maendeleo ya Biashara
S Hii ni hatua kubwa katika biashara, katika hatua
hii, biashara inakuwa na faida kubwa hasa baada
ya kurejesha mtaji na kumudu kulipa gharama
zote za uendeshaji
S Katika
hatua hii, biashara inaweza kutoa
mchango mkubwa katika uwekezaji wa biashara
nyingine mpya itakapotokea kuwa mmiliki
atakuwa tayari kutumia faida katika kuendeleza
biashara nyingine.
Kazi za vikundi
S Kila kikundi kianishe fursa 5 za biashara
zinazopatikana katika eneo husika au tarajiwa la
ujasiriamali
S Kila mmoja achague fursa tatu kati ya biashara
tano zilizoainishwa hapo juu.
S Taja biashara moja kati ya tatu ulizoziainisha na
elezea sababu za kuamua kuipenda, kuichagua
na kuamua kuifanya biashara hiyo
Kuchagua Biashara
S Chagua
biashara
mjasiriamali
kulingana
na
tabia
za
S Biashara
uliyoichagua itazame kitaalam na
uiweke katika karatasi
S Ainisha aina ya biashara, eneo linalofaa, mtaji
unaotakiwa, mambo yanayoendana na biashara
S Zingatia takwimu zote za kitaalama kulingana na
aina ya biashara kama mifano inavyoonesha
Kuchagua Biashara…..
S Mtaji sawa katika biashara tofauti huwa na
matarajio au mapato tofauti kulingana na aina
za biashara.
S Mfano ukiwekeza shilingi milioni moja katika
shamba la mahindi lililolimwa kitaalam kwa
miezi miwili unaweza kupata mapato
makubwa kuliko kuwekeza kiasi hicho hicho
katika biashara ya dhahabu.
FURSA Mifano: 1. Kilimo
KILIMO CHA MAHINDI:
S Gharama ya shamba, aina ya udongo, hali ya
hewa, Mvua, joto au baridi.
S Gharama za kulima, Hallow, Kupanda, palizi,
Kuvuna, Kusomba, magunia/mifuko na Ghala
S Mbegu, mbolea na madawa mbali mbali
S Vipimo; mbegu hadi mbegu, mstari hadi mstari
ASANTENI KWA
KUNISIKILIZA
Mawasiliano
+ 255 718 19 46 06
+ 255 767 11 1173
[email protected]
Kilimo cha umwagiliaji…………
S Matunda
S Mboga mboga
S Mahindi
S Ndizi
S Mpunga
S Machungwa
S Maharage
S Maembe
S Viazi aina zote
S Mananasi
S Soya
S Parachichi
Kilimo Umwagiliaji
S Matikiti
S Vitunguu
S Matango
S Vitunguu swaumu
S Bamia
S Karoti
S Bilinganya
S Maboga
S Pilipili
S Passion
S Nyanya
Mazao ya biashara
• Alizeti
• Karanga
• Ufuta
• Dengu
• Mbaazi
• Njegere
Mazao ya biashara
• Pilipili
• Maua
• Ngano
• Shayiri
Ufugaji
• Kuku: wa kienyeji na wa kisasa; wa
nyama na wa mayai
• Uzalishaji vifaranga wa kienyeji na wa
kisasa wa nyama na wa mayai
• Matumizi ya mashine za kutotolea
vifaranga
• Kununua na kuuza mayai
Ufugaji kuku: Mfano 2.
Mambo ya Msingi;
S Magonjwa ya kuku
S Aina ya banda
S Idadi ya kufanya faida
S Aina ya vifaranga
S Idadi ya kuku kwa
S Kiasi cha chakula
S Madawa na chanjo
S Uzito
eneo
S Tabia za kuku
Ufugaji unaendelea
SNg’ombe
SNyuki
SMbuzi
SVyura wa nyama
SBata Mzinga
SSungura
SNguruwe
SSamaki (kaa)
Uzalishaji: Agro-Business
Kuongeza thamani bidhaa za Kilimo;
• Mashine za kusaga na kukoboa mahindi
na mpunga. Kufunga unga na mchele
ndani ya vifungashio vizuri
• Mashine za kukamua mafuta ya mazao
(alizeti, karanga, ufuta, mawese, nk)
Uzalishaji unaend……..
• Mashine za kukamua juisi za matunda
mabalimbali na kuweka ndani ya
vifungashio
• Mashine za kukaushia mboga mboga,
matunda na samaki
• Kutengeneza na kusindika, wine, jam,
mango pickle, tomato sauce, chili sauce
nk
Viwanda vidogo vidogo
S Sabuni za Vipande
chooni
S Sabuni za Unga
S Kusafisha marumaru
S Sabuni za kuongea
S Hereni, bangili na
S Sabuni za kuosha
mikono
S Sabuni ya Maji
S Shampoo
cheni
Viwanda vidogo vidogo
S Karanga za mayai
S Mishumaa ya sherehe
S Egg Chop
S Mishumaa ya kawaida
S Chips (clips)
S Wine za matunda
S Kababu
S Wine za Nyanya
S Batiki
S Jam
S Mkaa
Viwanda vidogo vidogo
S Matofali ya kila aina S Mashine za
(interlocking bricks)
S Mitambo ya
kusafisha asali
S Mashine za kuchuja
maji
S Mashine za
kutengeneza
vifungashio
kutengeneza nta
S Mashine za
kuzalisha umeme
wa maji na jua
S Mashine za
kutengeneza bati
Elimu
S Ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wachanga (baby
care centers)
S Shule za awali au chekechea kwa watoto wadogo
S Shule za msingi, sekondari na vyuo
S Kufundisha ususi, saloon, upambaji na urembo
S Vituo vya elimu ya kazi mbalimbali za mikono
Usafiri na Usafirishaji
S Boda boda
S Mitumbwi ya plastic
S Bajaji
S Ngalawa
S Baiskeli
S Maboti
S Baiskeli za motor
S Ngombe
S Hiace
S Punda nk
S Taxi
Biashara
• Maduka ya jumla
• Kuuza na kununua nje
• Maduka ya reja reja
• Kuuza samani
• Mini-Supermarkets
• Kuuza madini
• Supermarkets
• Kuuza nguo
• Secretarial services
• Kuuza mapambo
• Kuuza bidhaa ujenzi
Biashara ya madini na vito
uchimbaji na uuzaji
• Dhahabu
• Mawe
• Almasi
• Nishati mafuta na gas
• Tanzanite
• Chokaa
• Gemstones
• Sapphire
• Gypsum
• Tomarines
• Shaba (copper)
Biashara nyingine za washiriki
S Ujasiriamali na Utamaduni Kwaya, Ngomaza
asili, sarakasi, maigizo nk
S Mipira
S …………….
S ……………
Baadhi ya picha
Picha
Picha
MWISHO
Ujasiriamali na utamaduni
Bajaji na pikipiki
MWISHO
ASANTENI
KWA
KUNISIKILIZA