Transcript Slide 1

Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi Tanzania Bara 2007

Baadhi ya matokeo ya Utafiti

Ofisi ya Taifa ya Takwimu 1

Yaliyomo

      Utangulizi na Madhumuni ya Utafiti Viashiria vya sekta ya Jamii Nyumba, huduma za nyumbani na rasilimali za kaya Shughuli za uzalishaji na za kibenki Umaskini Hitimisho 2

Sampuli

    Sampuli ya Utafiti ilitokana na maeneo ya kuhesabia watu yalioyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi 2002 Kaya ziligawanywa katika matabaka ya kipato katika kila eneo ili kupata uwakilishi wa matabaka yote katika sampuli Kaya zilizoingia katika uchambuzi ni 10,466 kati ya 10,752 zilizokusudiwa (97%) Asilimia 12% ya kaya hizi ni kaya za akiba 3

Viashiria vya sekta ya jamii: - watu, afya, elimu

4

Watu

 Wastani wa idadi ya watu katika kaya umeonesha kupungua 4.9 hadi 4.8

 Idadi ya Kaya zinazoongozwa na wanawake imeongezeka  Kuna ongezeko la idadi ya watu wa umri wa miaka 65 na zaidi pia ambao wanaongoza kaya 5

Kaya zinazoongozwa na wanawake

35 30 28 30 25 25 24 23 25 22 23 21 20 17 18 14 15 10 5 0 DSM Miji mingine 1991/92 2000/01 Vijijini 2006/07 Jumla 6

Afya

     Ikilinganishwa na Utafiti wa mwaka 2000/01: Hakuna mabadiliko katika idadi ya wanakaya walioripoti kuugua au kujeruhiwa katika majuma 4 kabla ya utafiti; na hali hii ni kwa wote mjini na vijijini Hakuna mabadiliko katika idadi ya waliotafuta huduma ya afya, ingawa Kuna ongezeko katika waliotafuta huduma kutoka katika vituo vinavyomilikiwa na Serikali (55% hadi 65%) Idadi ya walioripoti kuridhishwa na huduma katika vituo vya serikali imeongezeka ingawa ukosefu wa dawa uliripotiwa na wachache 7

70 60 50 40 30 20 10 0

Huduma katika vituo vya serikali

7 43 29 28 8 50 47 17 11 44 23 43 10 45 2000/01 2007 Dar es Salaam 2000/01 2007 Miji mingine 2000/01 Vijijini 2007 Zahanati au Hospitali Vituo vya afya 28 37 2000/01 Jumla 2007 8

Elimu

    Ikilinganishwa na Utafiti wa mwaka 2000/01: Kuna ongezeko katika idadi ya watu wazima wanaojua kusoma na kuandika Kuna ongezeko kubwa la idadi ya watoto wa umri wa kwenda shule ambao wanakwenda shule za msingi na sekondari Ongezeko katika idadi ya watoto walio katika darasa sahihi kulinganisha na umri 9

Mahudhurio shuleni

100 90 80 70 60 50 40 30 20 10 0 71 19 91 30 2000/01 2007 Dar es Salaam 71 15 91 28 2000/01 2007 Miji mingine Msingi 56 82 59 84 15 10 2 2000/01 Vijijini 2007 Sekondari 5 2000/01 Jumla 2007 10

Nyumba, huduma na rasilimali za kaya

11

Nyumba na huduma za kaya

 Ongezeko katika matumizi ya vifaa vya kisasa vya ujenzi  Hakuna mabadiliko katika idadi ya kaya zisizo na vyoo 7%  Upatikanaji wa maji safi na salama (hasa ya bomba) umeshuka 12

60

Vifaa vya ujenzi wa nyumba

(%) 50 40 30 20 10 0 21 35 16 26 43 25 35 1991/92 2000/01 Sakafu ya kisasa 33 55 2007 Kuta za kudumu Paa la bati 13

Upatikanaji wa maji (%) 100 90 80 70 60 50 40 30 20 10 0 93 4 86 8 58 25 73 11 76 12 61 16 25 10 28 18 23 18 36 10 39 16 34 18 Dar es Salaam Miji mingine Maji yoyote ya bomba Vijijini Vyanzo salama vingine Jumla 14

Umilikaji wa baadhi ya rasilimali katika kaya Redio / redio kaseti Dar

2000/01

79.6

Simu yoyote Ya mezani Ya kiganjani Luninga Vitanda Kompyuta Vyandarua 9.8

NA NA 20.1

95.2

1.4

79.6

2007

80.0

Miji mingine

2000/01

71.5

63.7

2.8

62.8

37.7

95.8

3.2

92.0

2.9

NA NA 7.0

93.9

1.5

66.3

2007

73.3

Vijijini

2000/01

45.7

43.3

1.9

42.5

15.8

93.4

0.5

84.1

0.2

NA NA 0.2

83.7

1.4

27.9

2007

62.2

Jumla

2000/01

51.9

14.3

0.6

13.9

1.8

89.5

0.1

61.3

1.2

NA NA 2.6

86.0

1.4

37.1

2007

66.2

25.0

1.1

24.5

8.2

90.0

0.5

68.9

Gari 5.9

4.4

2.2

2.2

0.7

0.3

1.3

1.1

1.5

Pikipiki Baiskeli 1.4

11.6

1.1

15.5

1.8

34.3

2.9

35.9

0.7

38.4

1.2

45.4

0.9

36.0

Nishati ya kupikia

100 90 80 70 60 50 40 30 20 10 0 2000/01 2007 2000/01 2007 Dar es Salaam Umeme Miji mingine Gesi - ya viwandani 2000/01 Vijijini Mafuta ya taa 2007 2000/01 2007 Jumla Mkaa Kuni 16

Umeme

Kaya zilizounganishwa na umeme (% )

70.0

60.0

50.0

40.0

30.0

20.0

10.0

0.0

2000/01 2007 Mainland Tanzania Dar es Salaam Other urban Rural 17

Shughuli za uzalishaji na za kibenki katika kaya

18

Uzalishaji katika kaya

 Shughuli kuu za wanakaya: - kilimo kinaonesha kushuka - kuongezeka waajiriwa na waliojiajiri 19

Shughuli za kibenki katika kaya

 Kumekuwa na ongezeko tangu mwaka 2000/01, la kaya ambazo zina wanakaya ambapo angalau: - mmoja na amiliki akaunti katika benki (ingawa idadi ilikuwa kubwa mwaka 91-02) - mmoja aliyechukua mkopo benki , - mmoja nayeshiriki katika vikundi vya kuweka na/au kukopa visivyo rasmi  Kwa ujumla idadi ya kaya za namna hii bado ni chache na zimejikita zaidi maeneo ya mjini 20

6 4 2 0 20 18 16 14 12 10 8 Shughuli za kibenki (asilimia ya kaya ambazo angalau…) 18.0

1.2

5.1

6.4

0.6

3.8

1991/92 Akaunti benki Vikundi visivyo rasmi 7.8

10.0

2.7

2000/01 2007 Mkopo wa benki mwaka uliopita 21

Umaskini

22

Kiwango cha umaskini

Food Basic 1991 2001 2007 1991

2001 2007 Mwaka

Dar 13.6

7.5

6.7

28.1

17.6

16.2

Miji mingine 15.0

Vijijini Jumla 23.1

21.6

13.2

20.4

18.7

12.9

28.7

25.8

24.1

18.4

40.8

38.7

37.4

16.5

38.6

35.7

33.3

23

Mwaka

Tofauti baina ya walionacho na wasionacho Dar Miji mingine Vijijini Jumla

1991 0.30

0.35

0.33

0.34

2000/01 2007 0.36

0.34

0.36

0.35

0.33

0.33

0.35

0.35

24

Hitimisho - I

   Kuna maendeleo makubwa katika upande wa elimu, upande wa afya hakujawa na mabaidiliko makubwa katika matumizi ya huduma za tiba isipokuwa tu ongezeko katika utafutaji huduma katika vituo vya serikali Kuendelea kudorora kwa huduma ya maji hasa maji ya bomba Kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa na ongezeko la rasilimali katika kaya 25

Hitimisho - II

  Kuendelea kupungua kwa wananchi wanaoshiriki katika kilimo na kuingia katika sekta nyingine Tofauti ya kipato baina ya walionacho na wasionacho haijabadilika ambapo tofauti ni ndogo kwa watanzania waishio vijijini ikilinganishwa na wale wanaoishi mjini.

26

Mwisho

Ahsanteni sana kwa kunisikiliza!

27