口岸电子执法系统 - POSTA NA SIMU SACCOS

Download Report

Transcript 口岸电子执法系统 - POSTA NA SIMU SACCOS

POSTA NA SIMU
SAVINGS AND CREDIT
COOPERATIVE
SOCIETY LIMITED
REGISTRATION DSR 118
P.O.BOX 3948 DAR ES SALAAM
TANZANIA
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
KWA WANACHAMA WA TAWI
DAR ES SALAAM
UKUMBI WA KARIMJEE
TAREHE 14.OKTOBA.2012
NA
D.F.NGALAWA
Manager - Posta na Simu Saccos Ltd.
MEED(udsm),PGDEED(udsm),PGDBA
DIRECTOR
White angels Primary school
Bright Angels High School
Lupingu Teachers college
Proposed Ludewa Health college
Agenda
 Utambulisho
 Utangulizi
 Madhumuni ya somo
 Yaliyomo
Namna ya mafunzo
Majadiliano na kazi katika vikundi
kujitambulisha



Viongozi wa Chama
Secretariat
Washiriki Wataje pia Biashara
walizonazo au Wazo la biashara
Utangulizi

-
-
-
Baada ya mada, washiriki watakuwa: Wameelewa maana ya ujasiriamali
Wana tabia za kijisiriamali
Wanamabadiliko Jasiri
Wapo tayari kuanzisha au kuboresha
biashara
Tayari kufanya mabadiliko ili
kuendesha chama kisayansi
Tayari kushuhudia mabadiliko kt chama
Madhumuni ya Mada





Kutoa elimu ya ujasiriamali na
kuwahamasisha washiriki kuanzisha au
kuendeleza biashara zao
Kuhamasisha na kuwashirikisha
wanachama mabadiliko ya kimtazamo
na fikra
Kuzitambua tabia za kijasiria mali
Kuhusianisha ujasiriamali na
maendeleo ya chama
Kutambua changamoto za chama na za
wanachama za kijasiriamali
Yaliyomo ndani ya mada




Maana ya ujasiriamali, tabia za kijasiria
mali, namna ya kuanzisha, kuendeleza
na kurithisha biashara
Mahitaji ya mabadiliko ya fikra, dira na
mtazamo wa wanachama na mipango
Namna ya kuwa mwanamabadiliko
mzuri na majukumu ya
mwanamabadiliko
Namna ya kukiendeleza chama kwa
kuanza na maendeleo ya mwanachama
Jinsi Mada Itakavyoende….






Washiriki watashirikishwa kwa
kuchangia mada
Majadiliano yatafanyika mara kwa mara
Vikundi vitapewa kazi ya kufanya
Uzoefu na mifano mbalimbali itatolewa
Kushiriki mafunzo ya ujasiria mali
wakati wa mada na baada ya mada
Kuchagua na kuamua biashara au
mradi wa kufanya baada ya mafunzo
Maana ya Ujasiriamali


Ujasiriamali maana yake ni; Kitendo cha kuanzisha, kuendesha,
kufanya biashara ndogo, kwa
kujitegemea, Pia, kuimiliki na mwenye
biashara kuwa ni mmiliki na mtendaji
au meneja wa biashara yako.
Kuanzisha na kufanya bisahara
kijasiriamali, Kuzingatia tabia za
kijasiriamali, siyo kufanya biashara
kiholela au bila utaratibu
Tabia za kijasiriamali








Kuipenda na kuifurahia biashara
Kuwa na malengo ya kukuza biashara
Kuwa na malengo ya muda mfupi na
muda mrefu
Kuwa na mikakati mizuri
Kuwa mbunifu na kujitegemea
Kuwa na ari na jasiri wa kuthubutu
Kuwa na mtandao wa watu wengi
Kufanya kazi kwa bidii
KAZI ZA VIKUNDI DK 10

1.
2.
Kila kikundi kiainishe: Maeneo kumi ambayo pesa za
mshahara huwa zinatumika. Anza na
eneo linalotumia pesa nyingi
Matatizo (problems) kumi ambayo
kikundi kama jamii kinakabiliana nayo
katika maisha ya kila siku sehemu
wanakoishi: - TEMEKE. ILALA
KINONDONI
Maeneo kumi yanayafanana







Chakula………...
………..
……….
……….
……….
………
………
1 MSHAHARA









Chakula
Ada
Nauli
Mawasiliano
Mavazi
Matibabu
Umeme Maji
Pango
Starehe
1 MATATIZO









Maji
Usafiri
Magonjwa
Makazi
Majanga
Uchafu
Njaa
Elimu
Miundo mbinu
2 MSHAHARA










Chakula
Pango
Usafiri
Ada/ Elimu
Mavazi
Misaada kwa jamii Misiba, Sadaka
Simu
Maji/ Umeme
Starehe
Matibabu
2 MATATIZO










Maji
Miundo mbinu
Kumbi/ Starehe
Huduma Hospitali, soko Polisi
Usalama wa mali na raia wizi
Usafiri
Mfumuko wa bei
Ajira
Makazi bora
Uchafu wa mazingira
3 MSHAHARA










Chakula
Usafiri
Matibabu
Pango
Ada
Mavazi
Yaya
Sadaka
Starehe
Misaada kwa ndugu
3 MATATIZO









Maji
Usafiri
Umeme
Uchafu
Ulinzi
Hospitali
Barabara
Ndugu
Mapumzi
4 MSHAHARA










Chakula
Matibabu
Ada
Maji
Umeme
Usafiri
Mawasiliano
Pango
Kijamii Harusi
Mavazi Uremmbo
4 MATATIZO









Maji
Umeme
Usafiri
Usalama
Mfumuko wa bei
Miundombinu
Uchafu
Magonjwa
Ajira
Mifano





Rizika na Majaliwa
Kwenda benki: kwani mnakopesha bei
gani?
Taasisi zinazokopesha 10%, 20%, 30%
kwa mwezi
Taasisi zinazokopesha 30% 35% 48%
kwa mwaka
Wakopaji wanategemea au
wanajiaminia nini???? Sisi je?
Uwiano na biashara ndogo



Tunategemea wale wenye nia ya
kuanzisha biashara wawe na tabia hizo
zaidi kuliko watu wengine
Lakini kuanzisha biashara yako na
kuiendesha mwenyewe kunaweza
kukufanya uwe na tabia ya kijasiriamali
Mipango mizuri ya biashara
itakulazimisha kufikiri na kuifanya
biashara kijasiriamali. Kuweka malengo
na kupanga mikakati ya kutimiza
malengo yako. Kuthubutu kimahesabu,
kuwa mbunifu nk
Mabadiliko
 Mabadiliko hayaepukiki katika maisha
na kuna njia mbili za namna ya
kuyakabili: 1. Mabadiliko yakubadilishe wewe
AU
1. Kupanga namna ya kuleta mabadiliko
kwa namna utakavyo
Agenda
 Tunaweza kuleta mabadiliko gani?
 Tubadilike kwanza wenyewe na tuwe
na mtazamo au mwelekeo wa
maendeleo. Tunalenga nini daima
 Tukitazame chama chetu.
Kinakwenda wapi??
 Tukianzisha biashara vizuri, tutakuza
biashara zetu na tutakopa zaidi mwisho
saccos yetu itakuwa zaidi. BENKI
Mabadiliko ya kiutendaji
Utendaji wa chama unapo badilika
Sasa
Hali
inayojulikana
Mpito
Maumivu Mabadiliko
Dira
Hakieleweki
Wegine hawapendi
26
Mabadiliko kiutendaji
Maana
Kama Neno:
Kama Kitendo:
• kuwa tofauti, Vingine
• Kubadilishwa au kufanywa tofauti
• Tofauti na hali ya mwanzo
• Kubadilisha
• Kubadiliha na kingine
• Tofauti
Msisitizo ni kukifanya kitu kiwe kingene
Haya yanaweza kuwa ni mabadiliko makubwa
27
Dinosaurs Walikufa! Wanyama walibaki!
Badala yake walikumbatia mabadiliko na wakapona
28
Thank You!
CONTACTS




+255-658853100
+255-762241124
+255-784853100
E-Mail:[email protected]